Mimba inanipeleka kubaya

Mimba inanipeleka kubaya

Relax mwaya ukijifungua utarud katka hal yako now n kwasababu ya hyo hal ndo mana unakua hvo bt ukijfungua kila kitu kinakua sawa kila mimba inakuja na vituko vyake.Afu usihofie mumeo kuchepuka kama ana tabia ya kuchepuka atachepuka tu ila sio kwa sababu eti wewe upo katika hali hyo ndo achepuke.
 
Tatizo sio kuoga wala kunyoa vuzi, naoga asbh na jioni, tatizo langu cjipendezeshi Kama kuvaa vzr kujikwatua usoni kama wanja poda nk, yaani nipo nipo tu, Na wakt sna ujauzito nilikua n'gali ng'ali yaan alikua ananiita sista du wangu, kwa jinsi ninavyotupia.

Alafu hanionei kinyaa but mm mwenyewe ndo naona noma.
Akili yako ina matatizo, wewe ni kati ya wasichana wajinga wanaofikiri kujiremba na mamakeup usoni ndio kupendeza na kumvutia kimapenzi mwanaume, hujikubali jinsi ulivyoumbwa na mungu, ila wanaume wengi hawapendi hayo maurembo yenu sanasana akiona unajiremba sana anakufanya mchepuko badala ya mke.
 
Wanaume wengi wangapi??? Kwanini wasemea wenzio kwasababu wewe hupendi urembo usidhani wote hawapendi. Afu mtoa mada anamuongelea mumewe inaonyesha anapenda urembo shida iko wapi hapo.
 
Nakahurumia hako katoto siku ya kuzaliwa. Manesi watapata tabu Sana kuutafuta mlango ili kuingiza dawa ya kuutanua manake msitu watakao ukuta Ni balaa. Katoto kenyewe lazima kapate mafua wakati kanatoka manake vuzi lililochanganyikana Na uvundo badala ya kulia Mara ya kwanza kataanza kwa kupiga chafyaaa
 
Ujiweke smart, inawezekana unavyompa mambo na anakwambia ametosheka huenda urafu wako unamkinaisha. Oga vizur, nyoa vuz, vaa nguo saf na utunze nywele zako vizur kama unaona shida kuchana nenda kanyoe.

NB:Chumba na nyumba kwa ujumla vyaweza vutia kufanya mambo bt ww usimtie ashki kwa urafu ulionao.
Nipe tenda ya kunyoa vuzi
 
Sipati unashindia kanga imechokaaaaaa
 
Jitahidi kujiweka safi japo ni kweli wanawake wengi mimba zinawapa mapokeo tofauti.Ila kinachohitajika ni mbaba kuwa mvumilivu na upendo,kile usichoweza kufanya anakusaidia kufanya. Mfano kama kuoga, kusugua mwili,kufyeka uwanja WA taifa, kukuhimiza kupiga mswaki Mara kwa Mara kuzuia harufu mbaya.Nawe unajitahidi kujiweka sawa.Akihitaji kuogelea bwawani kwako unahakikisha bwawa liko na manukato.Kimsingi mumeo anaweza kukupenda kuliko mwanzo kwa namna utakavyojiweka japo wamama wengi wakati WA mimba huwa rafu sana tens we we unaweza kuwa safi.Wengine hata kukaa vitu vyao huwa wazi eti joto! chupi huwa hawavai halafu huwatamanisha vijana na wababa Wengine wapita njia mpaka wanaweza kumbaka mama MWENYE mimba kwa sababu maungo yake yote hutanuka hivyo kupendeza sana kwa wababa Wengine wakichungulia.Jiweke POWa dadangu ili kaka azidi kukupetipeti.
 
Tatizo sio kuoga wala kunyoa vuzi, naoga asbh na jioni, tatizo langu cjipendezeshi Kama kuvaa vzr kujikwatua usoni kama wanja poda nk, yaani nipo nipo tu, Na wakt sna ujauzito nilikua n'gali ng'ali yaan alikua ananiita sista du wangu, kwa jinsi ninavyotupia.

Alafu hanionei kinyaa but mm mwenyewe ndo naona noma.
Sasa tatzo nn kama yy hamaindi. Kuwa hvo hvo ulivyo sasa
 
Back
Top Bottom