Mimba imeingia majuzi, nifanyaje?

Mimba imeingia majuzi, nifanyaje?

Ha ha ha ha ha ha ilikuaje Mkuu? Mimi ilishawahi kunitokea enzi zangu Mkuu, achana kabisa na haya mambo Mkuu.

Mtu anaweza akakusema saaana ila yakimkuta na yeye ndio ataelewa hasa ni kwa nini watu wameamua kufanya hivi.
Yaan wew wacha tu
Niliambiwa nimpe dozi ya misoprostol 4, mbili anywe mbili nipak kweny cervix, mpk asubuh hamna kitu, nikaambiw nimemunderdose nikatafuta vitano tena tatu akanywa na mbili akapak duuu usiku mzima hamna kitu duuu
Daktari kaanza kunitishia may be kumeshatokea uvimbe, alafu zaweza fumuka damu excessive bleeding itakuwaje duuu full mawazo
Nikaenda kwa utra sound ,hapo nipo kama mumewe daktar akatupongeza mtoto anaendelea vzr duuu kichwa kikauma
Ikabidi nimwambie akomae tukachokonoe, madaktar weng waliogopa sababu ya serikali ya sasa, nikambahatisha mmoja ila nikaambiwa huwa anamgonga msichana kabla ya kufanya zoezi wivu ukanijia nikambahatisha mwingine ndo akamfanyia duuu, ilikuwa wiki moja lkn nilikoma du
Nampongeza binti ktk kipind chote alikuwa msikivu
Distance relationship sio nzur kwa kweli, jamaa angekuwa krb tungemuunganisha na hiyo mimba ili aleee lkn DSM na lake zone wapi na wapi.
 
Ha ha ha ha ha pole sana Mkuu, Mistro ilifeli?

Mimi enzi zangu iliwahi kunitokea hiyo, nilimwambia ameze sa 5 usiku na anaishi kwa wazazi wake na wazazi wake wananijua na kunifahamu vyema sana. Alivyomeza hakunijurisha, ikabidi mida ya saa 6 nimpigie kumuuliza vipi? Akasema tumbo linamuuma ila sio saaana. Nikamwambia sawa.

Kufika saa 7 akasema tumbo limezidi, kufika saa 8 akasema tumbo linamuuma sana na anataka aende akamuamshe mama yake, nikamwambia asifanye huo mchezo wa kumwambia mama yake. Kufika karibia na saa 9 nikampgia akawa analia tumbo linamuuma na kibaya zaidi akatapika mpaka mimi nasikia kwenye simu. Akili iliruka mkuu, mapigo ya moyo yakazidi nikihofia hapa kuna kila dalili za wazazi wake kuamka.

Kwa bahati mbaya kwao sio mbali, huwezi amini Mkuu nilichukua Fragly nyumban na kutembea usiku usiku mpaka kwao na kumpa vidonge ili ameze, njiani nageuka kila wakati ili kuhofia kuvamiwa au kuitwa mwizi. Baada ya kumeza dawa baada ya dakika 20 nikampgia simu na kumuuliza anaendleaje? Akasema tumbo limepoa kiasi? Baadae tena nikampigia akasema tumbo linazidi kupoa. Hapo ndipo nilipoanza kuziheshimu Fragly.

Mpaka kesho yake akanambia tumbo linauma kawaida akimeza fragly. Daah, Mkuu kuna mapito ambayo watu tunapita hapa duniani ni magumu sana, kumpa mtu mimba ambaye hukutarajia unaweza ukahama hata mkoa au kubadili simu, makazi n.k
 
Enheeee ebu tuambie utamu ulikuwa mtamu sanaaa eeh nayeye si aliusikia lakini basi kama wote mlipata huo utamu basi endeleeni ili mtoto akue ,
JIULIZE MARA MOJA TUU KWA NINI WAZAZI WETU HAWAKU TOWA UJAUZITO PINDI TUKIWA TUMBONI .
 
Hebu chap chap badilisha jina la ID kuwa baba kijacho...
 
Jaribu kujiuliza kama mama ako angekutoa leo ungekuwa wap
 
Ha ha ha ha ha pole sana Mkuu, Mistro ilifeli?

Mimi enzi zangu iliwahi kunitokea hiyo, nilimwambia ameze sa 5 usiku na anaishi kwa wazazi wake na wazazi wake wananijua na kunifahamu vyema sana. Alivyomeza hakunijurisha, ikabidi mida ya saa 6 nimpigie kumuuliza vipi? Akasema tumbo linamuuma ila sio saaana. Nikamwambia sawa.

Kufika saa 7 akasema tumbo limezidi, kufika saa 8 akasema tumbo linamuuma sana na anataka aende akamuamshe mama yake, nikamwambia asifanye huo mchezo wa kumwambia mama yake. Kufika karibia na saa 9 nikampgia akawa analia tumbo linamuuma na kibaya zaidi akatapika mpaka mimi nasikia kwenye simu. Akili iliruka mkuu, mapigo ya moyo yakazidi nikihofia hapa kuna kila dalili za wazazi wake kuamka.

Kwa bahati mbaya kwao sio mbali, huwezi amini Mkuu nilichukua Fragly nyumban na kutembea usiku usiku mpaka kwao na kumpa vidonge ili ameze, njiani nageuka kila wakati ili kuhofia kuvamiwa au kuitwa mwizi. Baada ya kumeza dawa baada ya dakika 20 nikampgia simu na kumuuliza anaendleaje? Akasema tumbo limepoa kiasi? Baadae tena nikampigia akasema tumbo linazidi kupoa. Hapo ndipo nilipoanza kuziheshimu Fragly.

Mpaka kesho yake akanambia tumbo linauma kawaida akimeza fragly. Daah, Mkuu kuna mapito ambayo watu tunapita hapa duniani ni magumu sana, kumpa mtu mimba ambaye hukutarajia unaweza ukahama hata mkoa au kubadili simu, makazi n.k
pole sana mkuu,mimi siku hizi nimebadilika kabisa,.......naziepuka kwa namna yoyote
 
Kwa ushauri wangu wewe ulikuwa unajuwa kabisa unacho panda na taarifa ulikuwa nayo ni danger days sasa kwanini usivune ulicho panda mkuu. Kubaliana na matokeo pia
 
Habari wakuu,

Kuna manzi niko kwa kipindi kirefu sana nae jumapili tulikuwa maeneo fulani hapa Tanga tunapiga mechi ya kikubwa, kabla hatujaanza aliniambia kabisa kuwa yupo siku za hatari hivyo nitumie kondom lakini nikakwambia asijali nitamwagia nje.

Utamu ulipokolea nikajikuta nimemwagia ndani sasa leo nikaenda dispensary kupata ushauri, wakaniambia kuna dawa inaitwa masaa 72. Hiyo dawa inatakiwa kutumika ndani ya siku tatu kutoka siku uliposex lakini kwa case yetu ni siku ya tano leo.

Naombeni ushauri wenu wakuu, nifanyaje mapema kabla mambo hayajawa magumu huko mbele.? Ni siku tano mpaka leo
Jamani hofu ya nini Mkuu?Bwana Mkubwa alishatuambia "tufyatue tu'!
 
Ungetuomba ushauri kabla tungekusaidia kapime na HIV
 
Ungempa demu emergency cocentractive pills ndani ya hayo masaa 72 akaweka ukeni ila ur too late subiri uinywe father
 
Anataka utamu tu wa kikojoleo kwa raha zake lakini hataki kuitwa Baba. Anahofia majukumu ya kuwa Baba.
Baba yake angehofia majukumu tusingesoma hayo aliyoandika
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom