kakoyo092
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 721
- 890
Mjumbe hauwawi. Me sijamnyweshaHaikuhusu kivipi, wakati umeshiriki kutoa siraha na unajua kuwa unayempa ana kwenda kuua?
Mjumbe hauwawi. Me sijamnyweshaHaikuhusu kivipi, wakati umeshiriki kutoa siraha na unajua kuwa unayempa ana kwenda kuua?
Sikuwah kudhani siku moja nitamruhusu mdada atoe mimba yanguMpe Misoprostol kimoja chini ya ulimi kimoja ukeni alafu mtie ciprofloxacin 500mg 2×1 five days na Metronidazole 250mg 2×3 five days na antpain(PCM) 500mg mpe viwili kila baada ya masaa nane for five days.... Niamini mm icho kijusi akibaki. Nanawa mikoni zambi hii hainihusu.
Mmmh. Nimeamini kweli mtoto wako wa miaka 10 yuko form 3.Toa mm ni mtaalam wa abortion
Kumbe mkuu alikutaarifu kabisa.
Ukataka kuonyesha ubabe wa kumwaga nje.
Subiri mtoto huyo we jipange tu mkuu mambo ya kutoa toa hayo acha kufikiria kabisa. Usiweke usiwe na mawazo negative mkuu.
Aseeeh![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ndiyo maana nakupenda, na leo nataka nikutambulishe kwa , kaka yangu na babu yangu. Ili ukija kukutana nao huko heshima ufuate mkondo wake
Cc: Joseverest
Cc: Daby
Sio usizini mkuu??amri ya 6 usiue
Asante kwa kutoa elimu hiiMpe Misoprostol kimoja chini ya ulimi kimoja ukeni alafu mtie ciprofloxacin 500mg 2×1 five days na Metronidazole 250mg 2×3 five days na antpain(PCM) 500mg mpe viwili kila baada ya masaa nane for five days.... Niamini mm icho kijusi akibaki. Nanawa mikoni zambi hii hainihusu.
Ha ha ha ha mambo ya bongo bahati mbaya madamu nimecheka sanaMmmh. Nimeamini kweli mtoto wako wa miaka 10 yuko form 3.











