Kama kweli unaomba ushauri, Mungu awasaidie msimuue huyo mtoto. Ujue hiyo ni kazi kamili ya Mungu kuumba mtu ndani ya tumbo la mwanamke.Habari wakuu,
Kuna manzi niko kwa kipindi kirefu sana nae jumapili tulikuwa maeneo fulani hapa Tanga tunapiga mechi ya kikubwa, kabla hatujaanza aliniambia kabisa kuwa yupo siku za hatari hivyo nitumie kondom lakini nikakwambia asijali nitamwagia nje.
Utamu ulipokolea nikajikuta nimemwagia ndani sasa leo nikaenda dispensary kupata ushauri, wakaniambia kuna dawa inaitwa masaa 72. Hiyo dawa inatakiwa kutumika ndani ya siku tatu kutoka siku uliposex lakini kwa case yetu ni siku ya tano leo.
Naombeni ushauri wenu wakuu, nifanyaje mapema kabla mambo hayajawa magumu huko mbele.? Ni siku tano mpaka leo
Dhambi ya kuua kiumbe kisichoweza kujitetea ni mbaya sana!!! Achana na mawazo ya kuua/kutoa mimba.
Kumbuka hata wewe ulipitia tumboni mwa mama yako jiulize kama mimba hiyo ingetolewa!
Kuua gharama yake ni kubwa kuliko aibu ya muda mfupi na kulea mtoto.
Kubali matokeo wala usiumize akili yako kutaka kuharibu kazi ya Mungu, relax kubali matokeo, utaona inafaida zaidi.