Haitoshi tu kujua elimu ya kibaiolojia bali atafute utalaamu wa kidaktari ampe ufafanuzi juu ya hilo.mwanamke anaenyonyesha huwa hapati siku zake
kwaiyo kwa vile hapati siku zake akaona ni kawaida kumbe kuna jingine
hyo mimba ni yake tena amuombe mungu amsamehe elimu ya biologioa ni muhimu jamani msikurupuke
Lkn hata hivyo hatujui uhusiano kiundani wa hiyo couple huenda mwanaume kuna mazingira yanamfanya asiaminiKwanza mambo ya kukataa mimba ya kishamba sana tena ya kizaman siku iz wanalea mimba anasubiliwa mtoto au DNA inahusika apo ndo unaanza kuropoka ujinga wako sio unaanza kumkana mtoto akiwa bado tumboni
Hahahaaaaa mkuu amesababisha kukuvunjia ndoaUmesema eti ndani ya mwezi mmoja mtu hawezi kujua kama ana mimba? Kama ni hivo Ngoja nilianzishe nirudishiwe hela zangu haraka sana.
Mwezi wa pili jamaa kaondoka kapigiwa cm nina mimba ina miezi mi4 tang mwez wa pil mpk leo yupo sawa asingepanik aje waende hosp na mambo mengne yafatie sio kukurupuka tu kukataa mimbaLkn hata hivyo hatujui uhusiano kiundani wa hiyo couple huenda mwanaume kuna mazingira yanamfanya asiamini