Sirini
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 743
- 1,053
Shukrani kwa ufafanuzi wenye busarawanaume wa Dar wakipita mahali huwa wanajua na wenza wao wamepitia kwingine....
Shukrani kwa ufafanuzi wenye busarawanaume wa Dar wakipita mahali huwa wanajua na wenza wao wamepitia kwingine....
Nilikuwa silijui hilo..mwanamke anaenyonyesha huwa hapati siku zake
kwaiyo kwa vile hapati siku zake akaona ni kawaida kumbe kuna jingine
hyo mimba ni yake tena amuombe mungu amsamehe elimu ya biologioa ni muhimu jamani msikurupuke
nisamehe kwakukurupuka nilijua miakasoma umri wa mtoto alienae hapo miezi mingapi hanyonyi huyo
ndo hivo kaboom hata miaka miwili mtu anakaa bila kuona periodNilikuwa silijui hilo..
kawaida wanaume wa darnisamehe kwakukurupuka nilijua miaka
Ahsante..Nimejifunza kitundo hivo kaboom hata miaka miwili mtu anakaa bila kuona period
usjali ndo tunajifunza humu...mwambieni mwenzenu kwa situation hyo hyo mimba ni yake asilimia tisini na tisa...Ahsante..Nimejifunza kitu
utagunduaje kama una mimba ndani ya mwezi
kwa taarifa yako kuna watu wana mimba miezi ya mwanzo wanaendelea kubleed kama kawaida
pia hyo mama anaonekana alikuwa ananyonyesha na mtu anaenyonyesha hapati siku zake kwaiyo isingekuwa rahisi kujigundua
usiwe mwepesi kuhukumu kama hujui jambo kaa kimya
kwqa situation ya hyo mama kwamba ananyonyesha na kwamba alikuwa haoni siku zake kwa ajili ya kunyonyesha ingekuwa ngumu kugundua kama ana mimba kama hakupata shida ingiune yoyote kumbuka kipimo rahisi kwa mwanamke ni kutokuona siku zake.sasa hapo angejuajeUmesema eti ndani ya mwezi mmoja mtu hawezi kujua kama ana mimba? Kama ni hivo Ngoja nilianzishe nirudishiwe hela zangu haraka sana.
aya mwanamke wa mkoani.kawaida wanaume wa dar
Habarini wakuu,
Bila kupoteza muda kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ni jamaa yangu mmoja alinifuata na kuniambia kuwa wana ugomvi na mke wake juu ya mimba aliyonayo kwani mazingira aliyoipata hiyo mimba hayana udhibitisho au uhalali wa jamaa kuwa mmiliki.
Labda nieleze kwa kifupi juu ya mazingira menyewe, Kwa mujibu wa maelezo ya jamaa yangu, Jamaa ni mtu wa kusafiri safiri sana. Jamaa aliondoka nyumbani kwake tangu mwezi wa pili Mwaka huu 2016, mpaka sasa hajarudi nyumbani, na aliacha hali ikiwa shwari kabisa wala hakukuwa na dalili zozote za ujauzito.
Sasa juzijuzi tu mke wake amempigia simu akamwambia ana ujauzito wa miezi minne, jamaa alichanganikiwa na kukawa na mvutano mkali sana kati yake na mkewe, jamaa alihoji, mimba ina miezi minne hujaniambia kwanini? Jibu la mwisho la jamaa lilikuwa kama ilivyoandikwa kwenye kichwa cha uzi huu yaani "Mimba hiyo siitambui" Ikumbukwe kuwa mpaka saizi hajarudi nyumbani, wanawasiliana kwa njia ya simu tu, vilevile wana mtoto mmoja kwenye ndoa yao ambaye ana umri kati ya miezi 10 hadi 12.
Je, Kwa wataalamu wa mahusiano na sayansi ya uzazi na wale wenye uzoefu, pia wanawake wenyewe inawezezekana kweli kukaa miezi minne bila kujitambua kuwa una mimba?
Karibuni tunusuru ndoa ya huyu jamaa.
Nawasilisha.
bro aache ukali, mbona kazi rahisi tu , leo sio 1970 ni 2016 kuna DNA TEST,amwambie mkewe hilo alielewe na huenda jibu litapatikana kabla hata ya kujifungua kwa hofu itakayomkumba huyo mkewe kama mimba si ya huyo jamaa.Habarini wakuu,