Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,830
Wapo siriasi hawa wanatafunana hawatanii, ila linapokuja suala la uchaguzi hujifanya hakuna tofauti kati yao kwa sababu ya urohoSiwaamini hawa magamba wanaweza wakawa wanatuzuga.
Wapo siriasi hawa wanatafunana hawatanii, ila linapokuja suala la uchaguzi hujifanya hakuna tofauti kati yao kwa sababu ya urohoSiwaamini hawa magamba wanaweza wakawa wanatuzuga.
mbona DR. Slaa alitaja majina kibao - Ile list ya Mafisadi Papa tena Vigogo watupu, Mbona police hawajamkamata hadi leo? Mwacheni James wa watu hatuoni kosa lake.Kwani kumtaja mtu ni kosa? Labda kama kuna mengine zaidi, tusubiri tuone mwisho wa movie hiyo!
hivi mzee ndesa aliwalaani!!!???
sikujua!!!1
Mwenyekiti UVCCM amekamatwa na polisi baada ya kile kinachodaiwa kumsema riz wakati wa kuzindua mashina ya chama wiki iliyopita huko Arusha,Millya alimtaka riz aache kuingilia uvccm. Tukio hilo limetokea mchana huu huko mjini Arusha.
Ok,so amekamatwa kwa kusema "Ridhwani usiingilie uvccm" Kama habari hii ni kweli,basi tusubiri mashtaka atakayofunguliwa.Maana watu wanadhani siasa ni sheria.Those sholud be separated.Ni lazima kuwepo na mashtaka ambayo hayahusiani kabisa na wao kuwa uvccm unless Ridhwani na yeye ana cheo ndani ya uvccm.Na tena hata kama ana cheo,basi hatua ambazo zingechukuliwa ni za kichama na si eti polisi.
Hivi ni vituko ambavyo bado siviamini,unless mtupe more info.
Mwenyekiti UVCCM amekamatwa na polisi baada ya kile kinachodaiwa kumsema riz wakati wa kuzindua mashina ya chama wiki iliyopita huko Arusha,Millya alimtaka riz aache kuingilia uvccm. Tukio hilo limetokea mchana huu huko mjini Arusha.
Mpashaji wangu kaniambia sababu kubwa ambayo polisi wamemkamata Millya ni yale maneno aliyotoa wakati wa uzinduzi wa mashina kwamba riz hapaswi kuingilia siasa za vijana na pia watanzania hawakumchagua riz awe rais wamemchagua baba yake.
Lakini la ndani zaidu kuna harusi ya kada mmoja wa ccm ambayo ilifanyika huko moshi baada ya harusi kulikuwa na kikao kisicho tambulika kisheria ambacho kiliongozwa na mkit uvccm ndugu benno yaliyoelezwa humu yalimkashifu sana riz na baba yake nafkiri nayo ni sababu!
ok,so amekamatwa kwa kusema "ridhwani usiingilie uvccm" kama habari hii ni kweli,basi tusubiri mashtaka atakayofunguliwa.maana watu wanadhani siasa ni sheria.those sholud be separated.ni lazima kuwepo na mashtaka ambayo hayahusiani kabisa na wao kuwa uvccm unless ridhwani na yeye ana cheo ndani ya uvccm.na tena hata kama ana cheo,basi hatua ambazo zingechukuliwa ni za kichama na si eti polisi.
Hivi ni vituko ambavyo bado siviamini,unless mtupe more info.
Mwenyekiti UVCCM amekamatwa na polisi baada ya kile kinachodaiwa kumsema riz wakati wa kuzindua mashina ya chama wiki iliyopita huko Arusha,Millya alimtaka riz aache kuingilia uvccm. Tukio hilo limetokea mchana huu huko mjini Arusha.
wakimtupa selo leo kutoka mpaka j3 ananyea debe tu
mnapeda habari zisizo na source
there are currently 192 users browsing this thread. (50 members and 142 guests) seal team 6
marytina
biz2geza
malalika
2hery
mtanzania haswa
zuia sayayi
wa-ukenyenge
ntamaholo
lucknovich
mnyamahodzo
yetuwote
sweetbertrutamb
alamaza nyakati
pinochet
miruko
stide
wed
joellincoln
moblaze
iron finger
kamura
issenye
ochu
inauma
wijei
puppy
palalisote
douglas sallu
filipo
mzundu
nchasi
kuberwa
ngalangala
goldman
dconscious
jebs2002
gimmy's
inkoskaz
ngoiva lewanga
mtamamchungu
dedam
kitungi
reginamduma
kashwagala
ttozi bweka
deodat
Kauli yako inatia shaka, kama alimtaja wiki iliyopita kwa nini akamatwe leo, labda ana kosa jingine.Mwenyekiti UVCCM amekamatwa na polisi baada ya kile kinachodaiwa kumsema riz wakati wa kuzindua mashina ya chama wiki iliyopita huko Arusha,Millya alimtaka riz aache kuingilia uvccm. Tukio hilo limetokea mchana huu huko mjini Arusha.