Millya anatafutwa na polisi athibitishe mtoto wa kigogo anawatuma polisi

Yote haya ni sababu ya JK kufumbia macho mafisadi, wavue gamba haraka ili wakaunde chama chao waitumie kugombea Urais.
 
Let us wait and see what they gonna do because i see no future for them and their party.
 
Yote haya ni sababu ya JK kufumbia macho mafisadi, wavue gamba haraka ili wakaunde chama chao waitumie kugombea Urais.
 
Source ni JF kupitia Iron finger au ulitaka je... kwanza una kera ku-quote majina ili iweje, unawapa shida wanaotumia simu ku-browse

Yani Best hili la baadhi wa WanaJF kuulizaga SOURCE wakati tukio unaliona huwa inanichafuga sana. Naunga hoja mkono.
 
katika hili mi nawatetea polisi kumbukeni kuwa IGP ni mteule wa rais ma RPC na ma OCD ni wateule wa IGP kwa maelekezo ya ikulu hakuna hata kiongozi mmoja wa polisi anayeweza kuhoji amri ya wanasiasa hasa wa CCM akisita kidogo ajue nafasi yake ipo hatarini ndo maana hata yule OCD wa Maswa alipigwa mtama na mgombea wa CCM akanywea kwenye uchaguzi mwaka jana.
 
Badala ya kujipanga kurudisha chama kwenye mstari, wao wanazidi kupigana vikumbo. Huu ni muda muafaka wa wapinzani kujiimarisha.
 
Nimeangalia taarifa za habari za televisheni saa mbili hii hakuna taarifa hiyo ya millya arusha ama ni uzushi.tusubiri kesho katika magazeti
 
Anachokosea Ridhiwani ni kwamba amejisahau sana, badala ya kuendelea kusimamia biashara zake za Prime Fuels, yeye anajisambaza kila mahali. Huyu M.kwere mdogo ana hatari sana, watakapomchoka ndo atajua hii nchi ni Tanganyika au Tanzania!!!
 
Mtoto wa Rais ni rais wa Watoto.So nafikiri Rais si anaruhusiwa kumweka mtu kizuizini bila notice Mkuu!!
Mkuu kosa ambalo limeandikwa kwenye kitabu cha kukamatwa ni nini ? Sidhani kama wanaweza wakasema upo chini ya ulinzi kwa kumtaja mtu.., kwahiyo ni sababu gani waliyotoa?
 
Let us wait and see the outcome, we will get answers to this issue at the earliest possible time.
 
Ri naye amezidi yeye anakuwa kama ndo rais

Pole Mkuu,naona ulikuwa hujui,Kwa taarifa yako Yeye ni Rais wa watoto.Na hayo ndio madaraka yake!!!Let go 2015,tuchague mwingine.....Tuombee kawe kale Ka-kidume Kamezaliwa Juzi Kati na Mama Jsfn,Kwa sababu katakuwa katoto hakatatusumbua kama Huyu Muuza Mafuta wa Lake Oil.
 
Yote haya ni sababu ya JK kufumbia macho mafisadi, wavue gamba haraka ili wakaunde chama chao waitumie kugombea Urais.

karibu wana ccm wote ni mafisadi kwa viwango tofauti,kama wewe unajiona ni muadifu ondoka ukajiunge na wanamageuzi ama kaanzishe chama chako
 
Back
Top Bottom