Millya 'amchana' Ridhiwani Kikwete

Milya naomba unitoe wasiwasi huu utanihakishia vipi kuwa wewe na wenzako hamuendeshwi kwa rimoti kantiroli na EL na Freddy, maana sisi tunao tazama hii game ndio tunaona hivyo.
 
Wampige marufuku kukanyaga Arusha kama wana jeuri hiyo.

Vinginevyo wakimaliza kufungua matawi ridhiwani anakuja ''kuyafunga'' muda si mrefu.

Ila wakiendelea kunyukana hivi hivi hadi 2015 tunairudisha nchi yetu mikononi mwetu kiulainiiii.
 
Labda kwa wanaoujua wadhifa wa Ridhiwan ndani ya UVCCM watusaidie kutujuza.

Ritz1 ni Mtoto wa Mwenyekiti wa CCM.
Mtoto wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa Vijana waooote wa CCM.
Mbwa wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa Mbwa wooote wa wana CCM.
Mbuzi wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa Mbuzi woote wa wana CCM.
House Girl wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa Mahouse Girl woote wa wana CCM akiwemo FF.
Mke wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa wake za wana CCM wooote.
Demu wa Mwenyekiti ni mwenyekiti wa Mademu zenu!
 
Milya naomba unitoe wasiwasi huu utanihakishia vipi kuwa wewe na wenzako hamuendeshwi kwa rimoti kantiroli na EL na Freddy, maana sisi tunao tazama hii game ndio tunaona hivyo.

Huku Riz na baba yake wameshika remote control wana control Arusha.

Kule FTS na EL nao wameshika remote control wana control Arusha.

Kundi lenye remote control yenye powerful battery litashinda hii vita.
 
Yaani nchi imejaa watu wa ajabu kabisa...aargh!,kajitu kenyewe kadogo tena kafupi nyundo eti kanawasumbua hata wasomi! Yanga wanalalamika eti ooh Riz1 kaingilia uchaguzi,mara ooh kaingilia uchaguzi wa TUCTA na sasa UVCCM,huu ni ujinga mtupu,haiwezakani makundi haya ya watu wote hawa yakakubali kuvurugwa na kajitu kafupi kenye elimu ya kubebwa bebwa kasiko na madaraka yeyote zaidi ya kutumia influence ya baba yake.Tafadhalini acheni ujinga wenu wa kulalamikia hako kabushuti or just deal with him.
 
Labda kwa wanaoujua wadhifa wa Ridhiwan ndani ya UVCCM watusaidie kutujuza.

Mjumbe wa baraza kuu UVCCM/taifa, Ndio Mtunza mali zote za UVCCM Taifa. Mjumbe kamati ya uchaguzi yanga, Mtoa pesa za usajili Yanga, Mmiliki wa kampuni ya Usafirishaji, Mmiliki wa apartments, Deep green finace, Imma advocates. Lake Oil, Big bon sinza, Mbunge wa Chalinze 2015, M/kiti Uvccm taifa, baada ya kumuondoa Masauni! Mnataka zaidi?
 
Chadema wawe makini kuna mipango mingi inasukwa ikiwemo kurekodi na kupandikiza vibaraka wao ndani ya vyama vya upinzani na kuna mazungumzo yanaendelea hili kumtoa sitta CCM na apelekwe NCCR ili kugawa nguvu za upinzani na kukinyanganya chadema nguvu ya kuwa chama chenye nguvu cha upinzani
 
Every kingdom divided against itself is brought to desolation; and every city or house divided against itself shall not stand: (Mat. 12:25). I'm glad to hear that.....
 
Ritz1 ni Mtoto wa Mwenyekiti wa CCM.
Mtoto wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa Vijana waooote wa CCM.
Mbwa wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa Mbwa wooote wa wana CCM.
Mbuzi wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa Mbuzi woote wa wana CCM.
House Girl wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa Mahouse Girl woote wa wana CCM akiwemo FF.
Mke wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa wake za wana CCM wooote.
Demu wa Mwenyekiti ni mwenyekiti wa Mademu zenu!

unafikiria kwa kutumia masaburi wewe.
 
Let them die so that we can rule our own nation with de voice of majority.That means under CDM supervision
 
RIDHIWANI Kikwete mtoto wa Rais Jakaya Kikwete ametajwa kuingilia na kuamua kuendesha siasa za Mkoa wa Arusha kwa kutumia ‘rimote Control' akiwa jijini Dar es Salaam.

Katika mkutano wa leo uliofanyika katikati ya Jiji la Arusha na kuhudhuriwa na vijana wengi, Ridhiwani ametajwa kuwashika baadhi ya viongozi wa UVCCM wilaya ya Arusha na kuwaweka kwenye himaya yake.

hapo kwenye red nina mashaka napo.

lakini vipi, wana taarifa kwamba wenzao 'wenye nchi' wameua mtu igunga?
 
Ritz1 ni Mtoto wa Mwenyekiti wa CCM.
Mtoto wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa Vijana waooote wa CCM.
Mbwa wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa Mbwa wooote wa wana CCM.
Mbuzi wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa Mbuzi woote wa wana CCM.
House Girl wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa Mahouse Girl woote wa wana CCM akiwemo FF.
Mke wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa wake za wana CCM wooote.
Demu wa Mwenyekiti ni mwenyekiti wa Mademu zenu!
Dah!! Umeniacha hoi nimecheka kweli
 
wanatobona macho sasa!!
mbona hawakusema wakati Riziwani akiwa busy kumpigia kampeni baba yake??
Walifikiri anahangaika bure tu!! sasa ndo wataujua usultani ndani ya CCM!!
 
vita ya Lowassa dhidi ya JK na wenzie ndio imeanza rasmi, ndani ya miaka minne, tutarajie chama kipya kitachotokana na UVCCM

Mimi hapa nimekunja 4 nagonga mvinyo tu huku naangalia hii sinema sijui stelingi atakufaje?naomba asifie kwenye maua kama wale wa kihindi.
 
Ritz1 ni Mtoto wa Mwenyekiti wa CCM.
Mtoto wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa Vijana waooote wa CCM.
Mbwa wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa Mbwa wooote wa wana CCM.
Mbuzi wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa Mbuzi woote wa wana CCM.
House Girl wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa Mahouse Girl woote wa wana CCM akiwemo FF.
Mke wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa wake za wana CCM wooote.
Demu wa Mwenyekiti ni mwenyekiti wa Mademu zenu!
hahahahaaa!!!
Post of the day!!!
 
mkuu njaa mbaya sana ukiindekeza tu ina kula kwako..

Tena njaa hii iko kwenye mfuko wa rambo na kila mtu anaiona. Hupati shida kujua kwamba matawi haya yanayofunguliwa bila hata kufuata taratibu za chama ni yale ambayo yanapangwa kuja kujifanya kuasi pale mkubwa wao atakapovuliwa gamba kwa staili ile ile ya watu kuzimia kule Igunga. Lakini ukweli unabaki kwamba: Vyovyote watakavyofanya, magamba yatavuliwa na sasa wajipange kuwa wapinzani!
 
hapo kwenye red nina mashaka napo.

lakini vipi, wana taarifa kwamba wenzao 'wenye nchi' wameua mtu igunga?

Huna haja ya kuwa na mashaka. Hakukuwa na umati huo unaodaiwa kuwepo. Ni watu waliokodiwa kutimiza malengo ya mzee wa Nigeria.
 
Back
Top Bottom