Millya 'amchana' Ridhiwani Kikwete

Millya 'amchana' Ridhiwani Kikwete

ccm mbona yote kila mahali inaongozwa kwa rimoti hata rais mwenyewe yupo tu pale state house lakin nae anarimotiwa na wachache
 
"There si no way you can leave CCM safely"....! Wengi wanataka kutoka lakini hii inawasumbua nafsi zao; Nape Nnauye, Samwel Sita, Edward Porokwa, Rostam Aziz, Dr. Mwakyembe, nk included, lakini waelewwe tu kuwa better to die before the right, than living kwa dhuluma...! Kubaki kwao huko sio suluhisho la maisha yao, watamalizwa tu...! Sasa CCM ni chama cha makundi kama vile Bakwata, Lowasa Group, Jk Group, Sita Group, CUF, SAUTI, and the like....!
 
Pale CCM inapojipinga yenyewe....patam kweli kweli.Manake hapa sasa kazi kwa upinzani imeahirishwa wakati wao wanavita ya wenyewe kwa wenyewe ndio mda muafaka kwa wapinzani kuweka mikakati ya kuwapuliza.
 
Ridhwani ushauri wa bure omba ushauri kwa watoto wa marais waliopita Watoto wa Nyerere, Watoto wa Karume na Watoto wa Mwinyi. Naogopa sana usipokuwa mwangalifu utapata shida baba akiondoka madarakani.
 
hivi ni viini macho tu vya kisanii, wote ni waongo hakuna mkweli hata mkwele.
 
ccm mbona yote kila mahali inaongozwa kwa rimoti hata rais mwenyewe yupo tu pale state house lakin nae anarimotiwa na wachache

raisi mwenyewe magumash! Na watu washamjua ndo mana sometimes wanamsainishaga mikataba feki,sijui wanamchukulia kama nazi mbatata vile
??????
 
Back
Top Bottom