Millya 'amchana' Ridhiwani Kikwete

Millya 'amchana' Ridhiwani Kikwete

james millya ana pesa ndefu sana.tulisoma nae chuo.yeye wakati hule kudrive gari yake kutoka iringa mpaka arusha haikuwa tatizo.
 
Ndo yaleee ya watoto wa maraisi kama Ghadafi na Saadam
 
Ritz1 ni Mtoto wa Mwenyekiti wa CCM.
Mtoto wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa Vijana waooote wa CCM.
Mbwa wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa Mbwa wooote wa wana CCM.
Mbuzi wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa Mbuzi woote wa wana CCM.
House Girl wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa Mahouse Girl woote wa wana CCM akiwemo FF.
Mke wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa wake za wana CCM wooote.
Demu wa Mwenyekiti ni mwenyekiti wa Mademu zenu!

Ee bana e!
 
HA HA HA.....umeniacha hoi
 
Nilikuwa naangalia hukuhusisha mimea, Mananasi ya mwenyekiti wa ccm itakuwa vipi?
 
anhaaa millya na uv ccm mkoa chini ya lower hasa
vs bananga na uv ccm wilaya ya arusha chini ya hirizi wani mnaturushia stimu vijana chuga town, mnaendekeza sana njaa mnatumiwa na nyie mnatumika ngoja hiyo mikakati mnayowaambia mabwana zenu itafanikwa ibaunsi kudadeeki na hela za watu mmekula lazima mshkishwe ukuta kisamvu cha kopo kiliwe eti u dc ndo unawatoa imani si tunawecheki tu kote tupo za hiriz wani tunakula tunazomea kweli za lower hasa tunakula tunazomea pia yani hata chatanda naye akianza kugawa hela naenda si nyie mmetuzoesha alaaa na leo nachukua gomba nusu kwa kina ......... hapa kaloleni bill kwa james milya ile kazi ya juzi si mchezo
 
Ritz1 ni Mtoto wa Mwenyekiti wa CCM.
Mtoto wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa Vijana waooote wa CCM.
Mbwa wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa Mbwa wooote wa wana CCM.
Mbuzi wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa Mbuzi woote wa wana CCM.
House Girl wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa Mahouse Girl woote wa wana CCM akiwemo FF.
Mke wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa wake za wana CCM wooote.
Demu wa Mwenyekiti ni mwenyekiti wa Mademu zenu!

Teh teh teh teh e e e e e e e. We ni Hipopotamus yaan kiboko. Umeniacha hoi
 
Chadema wawe makini kuna mipango mingi inasukwa ikiwemo kurekodi na kupandikiza vibaraka wao ndani ya vyama vya upinzani na kuna mazungumzo yanaendelea hili kumtoa sitta CCM na apelekwe NCCR ili kugawa nguvu za upinzani na kukinyanganya chadema nguvu ya kuwa chama chenye nguvu cha upinzani
Sitta alishakwisha, amebaki domo kaya tu kama Nape. Kwa sasa hata aende Chama cha Bakwata hapati hata kura za misikitini
 
james millya ana pesa ndefu sana.tulisoma nae chuo.yeye wakati hule kudrive gari yake kutoka iringa mpaka arusha haikuwa tatizo.
unanikumbusha ule wimbo wa sifa za kijinga sijui uliimbwa na nani vile 'mtoto huyu anakula pilpili si mchezo'
 
RIDHIWANI Kikwete mtoto wa Rais Jakaya Kikwete ametajwa kuingilia na kuamua kuendesha siasa za Mkoa wa Arusha kwa kutumia ‘rimote Control’ akiwa jijini Dar es Salaam.

Katika mkutano wa leo uliofanyika katikati ya Jiji la Arusha na kuhudhuriwa na vijana wengi, Ridhiwani ametajwa kuwashika baadhi ya viongozi wa UVCCM wilaya ya Arusha na kuwaweka kwenye himaya yake.

Akizungumza baada ya kuhitimisha kazi ya ufunguzi wa mashina ya CCM zaidi ya 100 katika maeneo mablimbali ya jimbo la Arusha, Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Arusha James Millya alimrushia kombora hilo Ridhiwani mbele ya halaiki ya watu mjini hapa.

Huku akionyesha kuzungumza kwa hasira Millya aliyeshiriki zoezi hilo akiwa na baadhi ya viongozi wa Umoja huo wa kitaifa, akiwamo Beno Malisa Makamu Mwenyekiti alisema, wanachama wa CCM mkoa wa Arusha na maeneo mengine nchini walimchagua baba yake Ridhiwani kuwa kiongozi wao na si mtoto wake.

“Huyu mtoto anataka kuongoza siasa za Arusha akiwa Dar es Salaam, hivi mbona sisi hatuingilii siasa za Bagamoyo, sasa tumtaka abakie na Bagamoyo yake na atuachie Arusha yetu. Anajifanya anajua sana, tunachojua sisi tumemchagua baba yake kuwa kiongozi wa taifa haiwezekani na mtoto wake aongoze Arusha,” alisema Milya huku akishangiliwa na ummati mkubwa wa watu.

Naye Malisa akizungumza katika mkutano huo wa hadhara alisema, yeye binafsi ameshuhudia jinsi viongozi wa uuma waliochaguliwa kuwatumikia wananchi wakijitahidi kuzuia kazi ya kufungua mashina ya CCM.

“Tumewajua wote waliopambana ili kutuzuia tusiimarishe Chama chetu, jamani hivi haya mambo ya urais wa 2015 yanatoka wapi wakati sisi tupo kwenye kuimarisha Chama. Mimi ni shahidi leo wametutumia mpaka sms kututishia tusifanye hii kazi, jamani viongozi wanaacha kufanya kazi ya kuhakikisha vijana wanaonbdokana na ukali wa maisha wanahangaika kuzuia kazi ya kufungua mashina.

Malisa alikwenda mbali zaidi na kusema kuwa muda wa kufanya mambo kwa kutumia busara sasa umepitiwa na wakati.

Baadhi ya viongozi wa UVCCM waliokuwa katika shughuli hiyo ya kuzindua mashina ni pamoja na Mbunge wa Vijana Catherine Magige, Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kilimanjaro Godling Moshi, Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Morogoro, wajumbve wa Kamati ya Utekelezaji mkoa wa Arusha, na viongozi wengine.

Utata wa kufunguliwa kwa mashina hayo uliibuka jana baada ya kambi ya Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Arusha God Mwalusamba kutangaza kuwa haikuwa na taarifa ya ziara hiyo ya uzinduzi wa mashina.

Tangu kufanyika kwa uchaguzi mkuu mwaka 2010 Mwalumba alikuwa kambi ya Dk. Batilda Burian lakini mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi huo alihamia kambi ya Mary Chatanda Katibu wa CCM Mkao wa Arusha.

Wana JF,

Jamani Millya wataka kutuambia ni leo ndio umejua Ridhwani anatawala siasa za huku mikoani au wataka kutuambia kipindi cha kampeni au hata kabla ya kampeni mwaka jana za urais na ubunge na madiwani hukumwona Ridhwani na mama yake salma wakitembea nchi nzima wakijiweka position za kumpigia JK kampeni hilo tu lilikuwa tosha kukemea at that juncture leo hii umekumbuka kujifunika shuka wakati kumekucha kwanini nakuambia hivyio J.Millya ni kuwa sasa umetambua na ulitambua kuwa UVCCM mikoa mingi hapa nchini haiko sawa na wengi wao ni wanasupport Upinzani esp CDM na huko Arusha 90% ya wakazi wa mji wa Arusha wana support CDM na siku hiyo mwasema mwafungua matawi kwa taaarifa tulizo zipata ni kuwa mlikuwa mwasindikizwa na gari la police hapo tu ni wazi CCM haipendwi mlikuwa mnahofu nini kuwa pekeyenu mpaka muongozwe na FFU hii ilikuwa wazi tuu vijana wenzenu hawaipendi CCM na viongozi wenu na jinsi mnavyo itawala nchi esp hata wewe Millya ni Supporter mkubwa wa EL na wananchi wengi wanalijua hilo nawe wapaswa kusoma alama za nyakati esp kwa elimu uliyo nayo nakushangaa sana na nakusikitikia sana yakuwa huangalii alama za nyakati kabisa

My Take;

UVCCM arusha esp wilaya ya arusha mjini ndio ilisha kufa kabisa yani kupalaganyika kuanzi Mkiti mpaka wajumbe na ndivyo ilivyo mikoa mingine UVCCM wanatumika kupeba viroba vya wakubwa walioko madarakani eg wewe Millya wamsupport EL, Bashe wamsupport RA, Ridhwani wamsupport JK na Membe Nape nae hivyo hivyo kama Ridwani sasa hapo mtaniambia kuna UVCCM?? kwa ujumla ni kuwa UVCCM ni genge la viongozi wa UVCCM wanao simamia matakwa ya vigogo waliko CCM.

Hebu chukueni mfano wa umoja wa vijana wa ANC South Africa viongozi walioko madarakani wakiwasikia vijana wa ANC wanahaha balaaaaa wao wana nguvu sana na sasa wanadhania Rais ajaye SA ni kutoka umoja wa vijana ANC.
Someni Alama za nyakati msiwapotoshe Raia kuweni wazi

Kwa huku TZ amini nawaambieni CDM twajipanga na tutaiteka nchi hamto amini jinsi umoja wa wetu BAVICHA utakavyo kuwa na nguvu ya vijana nchini makamanda tunao wakutosha na mfumo wetu utakuwa poa kabisa.
 
Mjumbe wa baraza kuu UVCCM/taifa, Ndio Mtunza mali zote za UVCCM Taifa. Mjumbe kamati ya uchaguzi yanga, Mtoa pesa za usajili Yanga, Mmiliki wa kampuni ya Usafirishaji, Mmiliki wa apartments, Deep green finace, Imma advocates. Lake Oil, Big bon sinza, Mbunge wa Chalinze 2015, M/kiti Uvccm taifa, baada ya kumuondoa Masauni! Mnataka zaidi?

siyo mmmiliki wa bigborn sinza hata kidogo, mwenye big born sinza ni mtu tofauti kabisa, kama anasema ni yake kakosea alitaka sana kuinunua kwa mwenye nayo ikiwa ni pamoja na kufanya mizengwe mpaka ikazuiwa kuuza mafuta kwa kadi kana roho mbaya sana.
 
Hivi ile kesi yake ya kutunga na Ole Sendeka imeishia wapi?
 
bagamoyo na arusha wapi na wapi mshaurini abaki huko huko bagamoyo watu wa kazkasini akili ni nyingi
ujinga wake apeleke lindi na mtwara
 
Ritz1 ni Mtoto wa Mwenyekiti wa CCM.
Mtoto wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa Vijana waooote wa CCM.
Mbwa wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa Mbwa wooote wa wana CCM.
Mbuzi wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa Mbuzi woote wa wana CCM.
House Girl wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa Mahouse Girl woote wa wana CCM akiwemo FF.
Mke wa Mwenyekiti ni Mwenyekiti wa wake za wana CCM wooote.
Demu wa Mwenyekiti ni mwenyekiti wa Mademu zenu!

Wala hujakosea hata Mbwa wa Mwenyekiti wa CHADEMA anabaki kuwa Mbwa wa Mwenyekiti wa CHADEMA.

Ila tu Rais wa Tanzania anabaki kuwa Rais wa wenye akili na wasio na akili wote wa Tanzania bila kujadili dini, chama, jinsia, kabila na pia hubaki kuwa Rais wa Nguruwe na Mbwa wote wawe au wasiwe wa Mwenyekiti wa chama chochote kile. Kiwete ni Mwenyekiti tena ni Rais wa Tanzania.
 
Ni kosa mtoto kumsaidia baba yake?
 
Back
Top Bottom