FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,786
- 46,904
Huyo Bdozen kama amehama navyo means amemalizana na muajiri wake wa mwanzo, wame-settle accounts. Pia nazungumzia assets zilizojengeka kwa kutumia rasilimali za muajiri husika, kama Masoud amekuwa akiwaambia wasikilizaji wa radio ya muajiri kwamba waende IG na kwenye platforms zake wakaangalie katuni zake, basi na yeye inamuhusu hii, kama hafanyi hivyo, basi haimuhusu.Nimekuuliza Hamis Mandi (B Dozen) unamjua?
Kaondoka na Jina lake au kaliacha?
Kuhusu mali na jina la kipindi sifahamu lolote ila BDozen uyo uyo kaondoka na Jina lake na alikua na section yake kwenye XXL inaitwa Dozen Selection nayo aliondoka nayo. Fanya utafiti wako vizuri wengi wanakuaga na creativity zao
Nafikiri unashindwa kuelewa kitu kimoja majina ya watu hayawezi kuwa mali ya kampuni hata kidogo.
Uko kwenye social media habari nyingi anazo zitoa 98% hata kwenye Radio (clouds fm) huwezi zisikia na utakazo zisikia redioni basi utazikuta kwenye media baada ya kipindi kuisha.
Ally Mosound Nyomwa (Masoud kipanya) kaingia na jina lake clouds so unataka kusema na yeye akiondoka ataliacha?
Kipanya inafanya vizuri sana Mwananchi utasema clouds nao ndo wanabenefit apo si ndio?
Unayo yazumza ni very hard kuprove inshort wafanyakazi wote wa Clouds huwa wanasema mtu yoyote anaweza kuwacheck kupitia IG zao personal au za Radio na huwa wanatoa feeback interchangebly kutoka kwa Social media zao na Social media za ofisi piaHuyo Bdozen kama amehama navyo means amemalizana na muajiri wake wa mwanzo, wame-settle accounts. Pia nazungumzia assets zilizojengeka kwa kutumia rasilimali za muajiri husika, kama Masoud amekuwa akiwaambia wasikilizaji wa radio ya muajiri kwamba waende IG na kwenye platforms zake wakaangalie katuni zake, basi na yeye inamuhusu hii, kama hafanyi hivyo, basi haimuhusu.
Hapa sio suala la kuprove chochote, ni kujenga hoja ili hata hakimu akisikiliza aone kweli kuna haki imeminywa. Huo muda wa kuwaambia wasikilizaji waende kuangalia Social platforms zao ungekuwa ni muda muafaka wa kuweka tangazo la pepsi 😂, hakuna cha bure, lipa ndio uondoke na akaunti ‘zako’, hutaki tukutane mahakamani.Unayo yazumza ni very hard kuprove inshort wafanyakazi wote wa Clouds huwa wanasema mtu yoyote anaweza kuwacheck kupitia IG zao personal au za Radio na huwa wanatoa feeback interchangebly kutoka kwa Social media zao na Social media za ofisi pia
He gets paid.He got paid
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unajua watu huwa Wanataja hela kama vile wapo kwenye vijiwe vya Bangi. Anatamka mamilioni ya Dola kama vile anaongelea maandazi
Sallam anaingiza fedha kiasi kama faida kwenye hizo media ukilinganisha na mapato ya Millard?Umeongea ukweli , Millard Ayo ana ubillionare gani kama sio kupean a sifa za kijinga, kama ni billionare anashindwa vip kutengeneza media yake mpak akina Sallam wamemshinda Wana media zao??? Ndo hayo sasa mshikaji kawekeza jina Ila kuna wahuni wanamtafunia mrija , kama Rayvanny na label yake ya kupigia picha
We ni MbishiHapa sio suala la kuprove chochote, ni kujenga hoja ili hata hakimu akisikiliza aone kweli kuna haki imeminywa. Huo muda wa kuwaambia wasikilizaji waende kuangalia Social platforms zao ungekuwa ni muda muafaka wa kuweka tangazo la pepsi [emoji23], hakuna cha bure, lipa ndio uondoke na akaunti ‘zako’, hutaki tukutane mahakamani.
AY na FA walilipwa bilioni 2 kwa kujenga hoja tu, na si kingine.
Toa hoja wewe, acha kulialiaWe ni Mbishi
Kumbe mitandao inalipa balaaPer month tu anakusanya nyingi. Kuna mada ilisha wahi kuwekwa humu. Maxmelo nae alikuwemo kwenye top 5 kama sikosei kati ya wanaofanya vyema kwenye vipato vya kila mwezi kupitia mambo ya mitandao
Wamelipwa lini?Hapa sio suala la kuprove chochote, ni kujenga hoja ili hata hakimu akisikiliza aone kweli kuna haki imeminywa. Huo muda wa kuwaambia wasikilizaji waende kuangalia Social platforms zao ungekuwa ni muda muafaka wa kuweka tangazo la pepsi [emoji23], hakuna cha bure, lipa ndio uondoke na akaunti ‘zako’, hutaki tukutane mahakamani.
AY na FA walilipwa bilioni 2 kwa kujenga hoja tu, na si kingine.
Wamelipwa lini?
Nimeuliza hv ni wapi Millard Ayo ameidhinishwa kuwa ni billionare ,?? Kama kuna source ya kuaminika , nielekeze nikajisomee...issuevya sallam nimeenda mbali Tu kuuliza kama ni billionare anashindwa vip kuanzisha media yake mana ana coverage ya kutosha na soko analo mkononi? Akina Sallam wamefanya hvyo hata kama anawazidi hela , japo sina uhakika kama anamzidi na sidhaniSallam anaingiza fedha kiasi kama faida kwenye hizo media ukilinganisha na mapato ya Millard?
Watu mnadhani kufungua Media na kuanza kupata faida ni kitu kirahisi?..
Wewe huoni tozo zinaelekezwa hukoKumbe mitandao inalipa balaa
Serikali imewashitukia.Wewe huoni tozo zinaelekezwa huko
Amplifier ndio itabaki jina la clouds ila millard ni jina lake la kupewa na wazazi na ile ni independent organisation sema jmaa mjanja sana anatumia clouds kuipaisha account zake na kujipigia promo na ata clouds nao sasa hv wanamtumia millard kupata wasikilizaji weng.AkihamamClouds basi tambua Social accounts zake zote (Youtube, Facebook, Instagram, twitter nk.) zote zinabaki kuwa mali ya Clouds Media Group) , hata hilo jina la Millard Ayo ni mali ya CMG, hata hilo jina la Amplifier ni la CMG. Sasa akitaka kuhama navyo watamwambia alipe dola milion 5 kwa mfano, atabako na nini sasa?
ana hela nzuri, stable, hana njaaOne of the richest bloggers in Africa Forbes ilinukuu.
Ukimuona simple tu wa kawaida lakini ana hela ndeefuuu na nyingi sana.
Utajiri wake unakadiriwa 3-5 Millions US dollars. Vyanzo vingine vya uhakika na kuaminika vinadai anaweza kuwa na utajiri hata zaidi ya iyo dollar million 5.
Ni kwa kujituma kwa Millard na weledi alionao umemfikisha hapa alipo. Ana mchango mkubwa kwenye taifa kwa kutoa ajira hasa kwa vijana na kulipa kodi.
Ubunifu wake na kujituma kwake imepelekea makampuni mengi kung'ang'ania kwenye blog yake kwa ajili ya matangazo.
Pia amewainspire mablogger wengine ambao wana chipuka kwa kasi ya hatarii kama role models models wao.
Tunamtakia heri na azidi kuendelea kuwa na mafanikio zaidi.