Sword
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 864
- 182
Umerudi lini kutoka Milembe? Kumbe matibabu yako hayakuwa ya siku nyingi, karibu mtaanimarahaba hujambo?
Umerudi lini kutoka Milembe? Kumbe matibabu yako hayakuwa ya siku nyingi, karibu mtaanimarahaba hujambo?
Umerudi lini kutoka Milembe? Kumbe matibabu yako hayakuwa ya siku nyingi, karibu mtaani
Basi ninawasiwasi itakua hujapona, yani mpaka huku mtaani unaona kuna vichaa kama hao uliokuwa nao Milembe, anyways huenda ikawa ni vile umezoea mazingira ya Milembe, usijali you will soon be oknimetooka jana asubuhi ... nashangaa kumbe huku nje kunavichaa zaidi yangu kama wewe
Basi ninawasiwasi itakua hujapona, yani mpaka huku mtaani unaona kuna vichaa kama hao uliokuwa nao Milembe, anyways huenda ikawa ni vile umezoea mazingira ya Milembe, usijali you will soon be ok
Utanielewa tu... it is a matter of timewe unahitajika milembe hivi wewe unampango gani sikuelewi?
Utanielewa tu... it is a matter of time
Hahaaa, ulisema hunielewi tena umebadilika hutaki kunielewa, we vipi wewe....i dont think if i need to understand you..
Hahaaa, ulisema hunielewi tena umebadilika hutaki kunielewa, we vipi wewe....
Great ni Sifa ya Muumba pekeyake, huwezi kuwa great hata siku moja, vipi nikupitie badae tukanywe mbege?am great sasa unataka kunilazimisha kuelewana na wewe ????? aaah wapi!!!!!!!!!!!!
Great ni Sifa ya Muumba pekeyake, huwezi kuwa great hata siku moja, vipi nikupitie badae tukanywe mbege?
sasa mimi ni mfano wa Mungu so am great..... unashilingi ngapi ya kuninunulia mbege
Acha kukufuru wewe, toka lini ukawa mfano wa Mungu?? Utakunywa na kusaza ila tu....
Tatizo bavicha hamjui adui yenu. Acha kuharibu mada.
Ok, yote tisa kumi inakuaje sasa, wewe ni Marangu ama Kibosho, sitaki kuamini kama unatoka Kishimunduunakufuru wewe mie nipo sahihi kutokana na imani yngu kama yako inasema tofauti mshukuru pia huyo huyo muumba ...
Ni hawa wenye ugomvi na MusevenWhat is wrong between these two?...
why milipuko makanisani tu na siyo misikitini?
Vile vile wangeuliza VIPI MAJIBU YA UCHUNGUZI WA CIA KUHUSU MAUJI YA PADRI HUKO ZNZ, Mbona hayawekwi hadhwarani?
Je kuna siri gani?