Watu wachache ambao wamepewa madaraka na wananchi kuongoza dola, kwa kutojali kwao,aidha kwa kupuuzia, au kutokufuatilia mambo muhimu kama haya ya ulinzi na usalama wa Taifa wanaweza kututumbukiza katika machafuko makubwa.
Serikali ndio ya kulaumiwa. Na endapo Zanzibar itajitenga na Tz bara, basi haya mambo yatakuwa ndio maisha ya kila siku.