Milipuko Mikubwa yarindima Kibamba...

Milipuko Mikubwa yarindima Kibamba...

Gang Chomba

Platinum Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
20,734
Reaction score
4,869
milipuko inayodhaniwa kuwa ni ya mabomu inaripuka sasa hivi maeneo ya Kibamba.
Umeme umekatika na hali ni ya wasiwasi...

Mlipuko ni wa 4 sasa.
Nje manyunyu ya Mvua yanadondoka huku kukiwa hakuna ripoti kamili.
Maeneo ya Karibu kuna kambi ya jeshi...

the sagga continua...
 
ni mlipuko wa 4 sasa na watu wameanza toka nje huku kukiwa hakuna habari yoyote juu ya hali halisi
 
Ohoo, kama ni mabomu tena yanaripuka itabidi tufanye haraka tukavamie Ka-malawi ili tutumie stock yote ya zamani. Vinginevyo hao ma warehouse manager wa jeshi wawajibishwe ikiwa tu waliwahi kufundishwa principles of warehouse management. La sivyo haya yatakuwa ni madhara ya rushwa na undugunization kuwekana kwenye nafasi bila kuwa na vigezo. Tunasubiri news zaidi mkuu
 
milipuko inayodhaniwa kuwa ni ya mabomu inaripuka sasa hivi maeneo ya Kibamba.
Umeme umekatika na hali ni ya wasiwasi...

Mlipuko ni wa 4 sasa.
Nje manyunyu ya Mvua yanadondoka huku kukiwa hakuna ripoti kamili.
Maeneo ya Karibu kuna kambi ya jeshi...

the sagga continua...

Poleni Sana, Ila Hakuna Mtu Aliyeumia?
 
Naskia kuwa ni zoezi ili watinge lilongwe bt nadhani ni gongo la mboto back again
 
inaonekana tanzania tunasilaha nyingi za zamani zilizoisha muda wake.hivyo jwt wajenge utaratibu wa kuteketeza silaha zilizopitwa na wakati.!
 
Kibamba ndo wapi wakuu!!? Mtoa mada unaelezea mvua inavonyesha lakini umeshindwa kuelezea location ya kibamba!! Very pathetic!!
 
Mibomu mibovu nashindwa kuelewa kazi za hao wanajeshi wetu wenye vyeo kibao zaidi ya kupiga raia
 
Kuna mtu hapa alisema tunataka vita wakati midege yenyewe mibovu na inaweza kuanguka yenyewe kabla ya kushambulia sasa naanza kuamini.
 
Mimi na ndugu zangu tumepatwa na hofu kubwa milio ilisikika karibu kabisa na nyumbani, ila watu niliowasiliana nao wanasema ni wanajeshi wapo mazoezini..
 
yaani nlidhani kimeshanuka na malawi , tupo takataka zetu zimejilipuwa tena
 
Back
Top Bottom