TabletFellow
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 918
- 274
unastakhamili uzushi?Mwanadamu anapojitolea kutoa habari hata kama ni ya Kizushi sisi wasomaji kazi yetu ni kuzifanyia kazi sio kumtukana mtoa habari endapo zimekosewa wewe msomaji kazi yako ni kumelimisha mtoa habari unapotukana hujaisadia jamii inayosoma habari hiyo mfano huyo kasikia milipuko anaijulisha jamii wenye ndugu karibu tufanye utafiti juu ya hilo mwenzetu kasikia mlio alafu akae kukujulisha unaelekea wapi wewe unayetukana unaweza ukastamili????????????? binafsi nakupongeza hata kama ni habari za uongo tuzifanyie kazi.