Milio ya mabomu

Itakuwa mizinga.. Imeniamsha uzingizini mpka nyumba Imetikisika!
 
Mabomu tena, watuache tupambane na corona, corona tunapamba kwa kujificha ndani, sasa mabomu ni kupambana kwa kutoka nduki, ukitoka nduki corona inakudaka, baki ndani Bomu hilo, ebu mtuache kwanza.
 
mimi nipo mbezi nimesikia hii kitu nimetoka na mguu wa kuku wangu
 
Wakuu hiyo ni mizinga ya heshima kwa marehemu JAJI MSTAAFU AUGUSTIN RAMADHANI,amezikwa kimara stop over maduka matatu

Tulia hivyo hivyo dawa ikuingie..
 
Back
Top Bottom