Milio ya mabomu

Milio ya mabomu

Kama ni mida ya saa kumi jionii hii basi ni mizinga ya kwenye mazishi ya Brigedia General Agustino Ramadhani
 
Labda ni order kutoka mafichoni ya kukishambulia kirusi
 
mimi nipo mbezi nimesikia hii kitu nimetoka na mguu wa kuku wangu
Una hatari sana yaani hako kamguu wa kuku kakapambane na Boma hata watalaam wanakuambia kama una kamguu wa kuku ukaona wazee wapo nje na smg unashauriwa kafiche kabisa wasikaone halafu ujisalimishe
 
Una hatari sana yaani hako kamguu wa kuku kakapambane na Boma hata watalaam wanakuambia kama una kamguu wa kuku ukaona wazee wapo nje na smg unashauriwa kafiche kabisa wasikaone halafu ujisalimishe
nikajua nchi imewaka ilikuwa kwa self defence mitaani
 
Back
Top Bottom