Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

tuko kwaajili ya kukuhudumia karibu sana
IMG-20180904-WA0039.jpg
IMG-20180904-WA0040.jpg
 
Binafsi hakuna binadam nisiyeweza kumwelewa kama mtanzania. Bei ikiwa ndogo, analalamika, bei ikiwa kubwa analalamika.sasa nashindwa kabisa kuwaelewa hawa viumbe wenzangu waitwao binadam. Hasa wabongo.. Huyu jamaa kajieleza kwa uwazi sana. Pengine ulitakiwa kumpongeza kwa kutuletea huduma hii nzuri kwa gharama nafuu sana. Kama hujaridhika na bei basi unaweza kujipangia bei yako kubwa kidogo jamaa akiridhika nayo mnapiga kazi.
 
Ndg yangu, nimejaribu kuwasiliana nanyi ili mrekebishe makosa naona sipati ushirikiano
 
Mkuu naomba gharama zako za ujenzi.

Nina site nishajenga foundation nataka kunyanyua kdgo kdgo.

Hivi sasa nina tofali 400.
Utajenga kwa shs ngap??
Site location: mbagala kisewe
Tambarare
 
Mkuu naomba gharama zako za ujenzi.

Nina site nishajenga foundation nataka kunyanyua kdgo kdgo.

Hivi sasa nina tofali 400.
Utajenga kwa shs ngap??
Site location: mbagala kisewe
Tambarare
Hatuwezi kujua garama kabla hatujaona site ramani ilivyo yaan ukubwa wa vyumba na idadi material ulizonazo nk
 
Nauza kiwanja maeneo ya Tandika karibu kabisa na chuo cha bandari Dsm kiwanja kimepimwa kina hati miliki na hakidaiwi na serikali ukubwa wa kiwanja ni square meter 826 bei ya kiwanja ni milion 350 tu maongezi kidogo yapo
mimi ndiye mmiliki halali wa kiwanja kwa mwenye kuhitaji tafadhali tuwasiliane kwa 0763772636

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom