maxime
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 2,233
- 1,320
naomba unichek whatsapp kiongozi naikumbuka ile project yako plz tuwasiliane
Sent using Jamii Forums mobile app
I like it.project ya ujenzi wa mgahawa wa kisasa kabisa mgahawa huu ujenzi pamoja na funcha zote umegarimu milion 40 ilikuwa ni full parcage kujenga na kuweka fancha kila kitu kwa maelezo zaidi whatsapp us 0763772636View attachment 1058263View attachment 1058264View attachment 1058265View attachment 1058266View attachment 1058267View attachment 1058268View attachment 1058269View attachment 1058270
Sent using Jamii Forums mobile app
Akishindwa kukufanyia hio vertical extension nicheki mimi...Wakuu habari mpoo ? nina nyumba yangu ya chini ina vyumba 4 ninataka kuipandishia gorofa moja juu jee inawezekana? Na mtaweza kunifanyia hiyo kazi? Nyumba ipo znz shukran
Sent using Jamii Forums mobile app
kazi tumeikabidhi jana asante kwa ushirikiano wenuView attachment 811727View attachment 811729
Sure 32 milioni Ni nyumba kali sema wamezoea hizi za madalali, kuna interlock brick tofali moja sh.500 ukitumia tofali 6000 sawa na 3,000,000 tayari una nyumba ya vyumba vitatu hadi unafunga lentaUsipende ku kremisha bosi material kama mabati sisi kama kampuni tuna kiwanda kidogo cha kuproduce pia matofali tuna mashine tuna shamba la miti ya mbao so usihukumu moja kwa moja come to the ofisi
Daaa kwa 32m hiyo huku moshi unajenga nyumba ya room 3 jiko,choo,sebule unapauwa na msouth gage 30 grill,plaster,umeme na rangi kwa 15 ml
Ila sio mbaya umaskini wangu ndio unanichanganya tu
Wish u all the best
Mko vzur sana aseee ntawatafuta mambo yakikaa freshpia kwa wateja wetu tuna michoro ya nyumba za bei Rahisi zaidi mfano nyumba ya vyumba vitatu,sebule public toilets store open kitchen kwa garama ya milion 36 tu Yes milion 36 utapata nyumba ya vyumba vitatu
kwa maelezo zaidi whatsapp us 0763772636View attachment 1086502View attachment 1086503
Biss mbona hatuonagi actual picha ya project zako...kila siku ni models tuNew project at Dodoma hii ni nyumba ya vyumba vinne tunaijenga Maeneo ya Dodoma Garama ya hii nyumba hadi kukamilika ni milion 150 kwa mahitaji yako ya kuchorewa Ramani kuandaliwa B.O.Q kujengewa nyumba za kisasa kabisa wasiliana nasi kwa whatsapp 0763772636View attachment 1085543View attachment 1085544View attachment 1085550View attachment 1085545View attachment 1085547View attachment 1085548View attachment 1085546View attachment 1085549
Mkuu..Public Toilet itakuwa wapi kwenye ramani yako hapa?Ramani hii simple ya vyumba vitatu utajengewa kwa milon 40 tu mawasliano 0763772636View attachment 1081418
Mkuu hii nimeipenda..room ngap hii?karibun kwa ujenzi bora na wa garama nafuu kabisa wasiliana nasi kwa whatsapp no 0763772636 karibun sana kwa milion 32 unaweza kumiliki nyumba bora na nzuri kama hii karibinView attachment 853923
Sent using Jamii Forums mobile app
Na simple bachelor house with single room price ikoje?Kuhusu maji umeme ni inclusive ukija ofisini utachagua ramani na aina sisi tunakujengea na tunajenga popote Tanzania kiwanja ni chakwako mkuu