Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Naomba useme ulichodanganywa na kampuni yetu na utoe ushahidi hapa hapa ili na wengine watambue uongo wetu maana sio unakuja kutapika kumbe hata Kiwanja huna wala hujawahi kufanya Kazi na sisi ili tangazo lina zaidi ya mwaka sasa nadhan kama tungekuwa waongo wengi tuliofanya nao Kazi wangeleta malalamiko hapa
Mkuu nimesoma uzi wako toka umeanza. Estimates unazoweka hapa ni very fair. Unapata faida ya kawaida na mteja anapata nyumba nzuri bila stress nyingi za kusimamia ujenzi.

Binafsi nimejenga nyumba ya vyumba vinne, jiko, stoo, dinning, na sebule kwa gharama chini kidogo ya unazotaja. Gharama zimekuwa chini kidogo sababu ujenzi nilikomaa na mke wangu kila nukta huku tukitumia mafundi ambao pia ni wachungaji/ watumishi ukitoa sehemu chache.

Nafikiri watu kama nyie wenye kampuni rasmi mtawasaidia sana diaspora wanaotaka kujenga nyumbani huku wakiwa hawana watu wa kusimamia.

Naunga mkono juhudi zako na uaminifu ndio iwe silaha yenu kuu maana mafundi kwa asilimia zaidi ya 98 si waaminifu.
 
Ujenzi ukiendelea maeneo ya Goba Dsm Nyumba ya kisasa vyumba vitatu sebule,dining, store,public toilet bei hadi kukamilika kulingana na hitaji la mteja wetu materials alizopendeleza itagarimu million 66 WhatsApp 0763772636View attachment 728252
Hii nyumba ya 3 bedrooms in total ina sqm ngapi? Ikiwa finished itakuwa na milango ya aina gani...floor ya aina gani...ceiling ya aina gani...umeme na maji vitakuwapo....imejumuisha na mashimo ya vyoo...jee roofing materials ni za aina gani...just give a little brief of your house for one to make sound decission and move.
 
Mkuu nimesoma uzi wako toka umeanza. Estimates unazoweka hapa ni very fair. Unapata faida ya kawaida na mteja anapata nyumba nzuri bila stress nyingi za kusimamia ujenzi.

Binafsi nimejenga nyumba ya vyumba vinne, jiko, stoo, dinning, na sebule kwa gharama chini kidogo ya unazotaja. Gharama zimekuwa chini kidogo sababu ujenzi nilikomaa na mke wangu kila nukta huku tukitumia mafundi ambao pia ni wachungaji/ watumishi ukitoa sehemu chache.

Nafikiri watu kama nyie wenye kampuni rasmi mtawasaidia sana diaspora wanaotaka kujenga nyumbani huku wakiwa hawana watu wa kusimamia.

Naunga mkono juhudi zako na uaminifu ndio iwe silaha yenu kuu maana mafundi kwa asilimia zaidi ya 98 si waaminifu.
Vyovyote iwavyo....lazima tujuwe gharama zake za ujenzi kwa square mita ili tuweze kulinganisha na wengine....bila hivyo naweza kusema nijengewe nyumba ya 3bedrooms na ikwa na vyumba vya futi 9×9 siting room ya futi 10x12....choo cha futi 2x4 mwisho wa siku nikaishia kuigeuza 1 bedroom house.
Naomba majibu ya mleta uzi yawe ya kitaalam zaidi itasaidia kufanya naye biashara.
 
Karibu ofisiini tujue aina ya material kwanza unayopendekeza coz material ndo hutofautisha bei per square meter
 
Hizo appartment za 2 bedroomed ni kiasi gani hadi finishing
 
Hii nyumba ya 3 bedrooms in total ina sqm ngapi? Ikiwa finished itakuwa na milango ya aina gani...floor ya aina gani...ceiling ya aina gani...umeme na maji vitakuwapo....imejumuisha na mashimo ya vyoo...jee roofing materials ni za aina gani...just give a little brief of your house for one to make sound decission and move.
Hizo zote ni option za mteja kutokana na bajeti yake na material atakayopendekeza mfano kuna mwingine atapendelea kuwekewa tiles kutoka Spain mwingine anataka za kawaida za China mwingine atataka tupige rangi ya kawaida yaani hizi za sadolin mwingine hataki so everything depend on ones options
 
Mradi mwingine wa apartments kumi ukiendelea ndani ya kigamboni kwa mahitaji ya ujenzi wa garama nafuu tafadhali wasiliana nasi kwa 0763772636 WhatsApp na calls 0713935395/0763772636
IMG-20180428-WA0022.jpg
IMG-20180428-WA0021.jpg
IMG-20180428-WA0007.jpg
 
Labda vya kutunzia misukule..maana haya magorofa hayaaminiki.
Kila mteja na ramani yake so wengine wanapenda sebule iwe juu wengine wanapenda iwe chini so kwa ramani hii mteja amependa sebule na dining ziwe juu na chumba kimoja vingine vyote view chini
 
Kwa uchoraji na ubunifu wa michoro mbalimbali ya majengo ya biashara na makazi usisite kuwasiliana nasi kwa ramani za garama nafuu kabisa
IMG_20180427_212548_025.jpg
IMG-20180424-WA0039.jpg
IMG-20180424-WA0040.jpg
 
Kila mteja na ramani yake so wengine wanapenda sebule iwe juu wengine wanapenda iwe chini so kwa ramani hii mteja amependa sebule na dining ziwe juu na chumba kimoja vingine vyote view chini
Hio wanaita upside down. Hapo nimeelewa, maanake mwanzo ulisema juu kuna chumba kimoja tu kumbe kuna sitting room,jiko huko juu.
 
Ndio kiongozi chumba kimoja sebule dining vipo juu
 
Tupo makumbusho stand kiongozi wasiliana nasi kwa 0763772636 WhatsApp au call 0713935395/0789047874
Mkuu unaongelea 30mil...sio habari za kuwasiliana wasap...sema ofisi ilipo mtu ajiridhishe na kujiaminisha anatoa pesa kwa watu sahihi na atarajie kitu chenye thamani halisi ya pesa yake.
 
Back
Top Bottom