Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Kwa wale waliokuwa na mashaka na kampuni yetu huu hapa kopi ya lesen ya biashara
1e6b15f13d23bfd5df5cd30610e86265.jpg
karibuni sana Nyumba yako Maisha yako
 
Picha za mtandaoni zinajulikana.. Nyingine tunajua wachoraji wake..
Mkuu kwa sasa hizo picha wabongo kibao tu wana design, na mwenyewe ameshajibu ana hakika ametengeneza mwenyewe. Angalau ungekuwa na reference mahali ametoa. Ila nna mdogo wangu pia ni mchoraji mzuri wa ramani kama unataka designing kama hizo unakaribishwa.
 
Kwa wale waliokuwa na mashaka na kampuni yetu huu hapa kopi ya lesen ya biashara
1e6b15f13d23bfd5df5cd30610e86265.jpg
karibuni sana Nyumba yako Maisha yako
Mkuu ulisema umna uzoefu wa miaka nane kama siyo sita, ungeweka na document ya mwaka mlipoanza kazi au mliposajiliwa, ili kuthibitisha uzoefu wenu kwa wasioamini. Hiyo ya 2017 inaweza kuingia kwenye akili za watu kuwa nyie ndo mnajifunza kazi na kupoteza uaminifu.
 
Siwez kuweka kila kitu mtandaoni siwez pia kumlazimisha kila mtu kuamin walio serious wanatutafuta na bado wanaendelea kututafuta so if u don't trust nilichokuambia ata Yesu akirudi Leo bado utakuwa mbishi maana wengine ubishi kipaji chenu
 
Karibu bado tunaendelea na Huduma yetu ya kujenga nyumba kwa garama nafuu kabisa pia kama nyumba yako umejenga nusu hujamalizia Tafadhali usisite kuwasiliana nasi ili tuweze kumalizia jengo lako kwa garama Rafiki kabisa tena utaruhusiwa kulipa kidogo kidogo bila riba yoyote zaidi ya yote hata kama huna Raman one2one watakuchorea bure kabisa bila malipo yoyote maana Mteja kwetu ni Mfalme
 
Pia Huduma ya viwanja sehemu tofauti tofauti ndani na nje ya jiji La Makonda vinapatikana nichek kwa 0763772636 sema unataka eneo gan ukubwa na bajeti yako nasi tutakuhudumia karibu one2one kwa Huduma bora kabisa
 
Habari njema kwa wateja wetu wa Arusha Tayari tumeshafungua Tawi huko tupoTamvua Plaza gorofa ya nne watu wetu wa Dodoma mjiandae
 
Siwez kuweka kila kitu mtandaoni siwez pia kumlazimisha kila mtu kuamin walio serious wanatutafuta na bado wanaendelea kututafuta so if u don't trust nilichokuambia ata Yesu akirudi Leo bado utakuwa mbishi maana wengine ubishi kipaji chenu
Mbona umepanic na mimi nimekueleza tu kwa nia njema mkuu. Wala sikulazimishi kuweka kila kitu. Unasema una uzoefu wa miaka nane unatuwekea document ya mwaka 2017. Kwani kuambiwa uweke document ya mlipoanza kazi ili kuthibitisha uzoefu wenu ndo nimekwambia uweke kila kitu? Umewezaje kuweka ya sasa ukashindwa kuweka ya zamani? Akili nyingine ni za hovyo zaidi kupata kutokea.
 
Sawa ni za hovyo kwa waliona uhitaji walishakuja ofisin na wanazidi kuja hongera ww ambaye sio hovyo Maisha mema boss
 
Uongo uongo uongo uongo uongo haiwezekani! Haiwezekani eneo la nyumba la mita 25×25 halafu liwe na vyumba viwili na sebule!
Nyumba moja yenye eneo la mita za mraba 625 hata NHC haijawahi kuijenga! Nyumba za eneo la mraba 115 wanauza kwa zaidi ya milioni 100!
Kama ni uongo basi umevuka mipaka!
 
So ile eneo ni kubwa au dogo kwa mtazamo wako?
Hizi ni sawa na square meta 625 je hazitoshi kujenga nyumba?
Pili labda kama hujajua kiwanja sio cha kwetu kiwanja ni juu ya mteja na size za Vyumba sebule tunajenga kulingana na Matakwa ya mteja
Wew kama mteja utasema unataka Vyumba vya ukubwa gan bt Vyumba tunavojenga sisi masta ni 4.5*4.5 normal bedrooms 3.5*3.5 ukitaka ukubwa wa Vyumba zaidi ni Matakwa yako pia inategemea na Raman unayotaka
 
Asprin ndugu yangu usilolijua ni sawa na usiku wa Giza Fanya research njoo upingane nami kwa fact kwamba hiyo mil 32 haitoshi kujenga nyumba ya kisasa nami nitakujibu with fact na nitakupeleka ukaone nyumba za wenzio zilizojengwa na ukague uimara wake usije na blaablaa tu

Nilichojifunza watanzania wengi maneno mingi mingi. Sasa namuelewa Magufuli. Hostel za 50 billion kasema zijengwe kwa billion kumi. The so called wataalamu walikuwa humu kutuaminisha kwamba haiwezekani. Leo hii hostel zimeisha. Lakini bado wanakomaa kwamba tumedanganywa gharama in zaidi. Now you wonder Hawa wataalamu in professional au ndo wale WA 10% wanaolia na Magu kila kukicha!

Mleta mada kaelezea kwa kirefu kwa nini 32M inatosha kujenga nyumba. Ila tumekazania haiwezekani! Jamani hapa tunaongelea low cost housing. Tatizo Watu WA mjini mnataka mabangalow mnayoyaona huko Masaki na Mbezi beach.

Tunahitaji ukombozi WA fikra kwanza. Kwa average Tanzania 32M in hela kubwa sana. Sasa kusema eti ha wezi pata nyumba..in kukatishana tamaa pasipo umuhimu.

Asante mleta mada kwa uzi wenye kufunza.
 
Back
Top Bottom