Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Karibuni kwa Huduma ya ujenz wa garama nafuu na wa viwango vya hali ya juu zaidi ya yote nyumba yako baada ya kukujengea itakuwa chini ya uangalizi wetu kwa miaka 5 chochote kitakachoharibika tutakurekebishia bure kabisa bila garama ya ziada ni wakati wako sasa wa kumiliki nyumba
 
....safi sana, inakuwaje kama nina ramani yangu mwenyewe...?
 
....safi sana, inakuwaje kama nina ramani yangu mwenyewe...?
Ni sawa tu mkuu tunakuhudumia na pia unaweza kulipa kidogo kidogo wakati ujenz ukiendelea bila riba yoyote
 
Kama una nyumba yako ungependa ifanyiwe Renovation karibuni kwa Huduma pia
 
Habari wakuu one2onefocus limited ni kampuni inayojihusisha na maswala ya kujengea wateja nyumba kwa bei rafiki kabisa zaidi ya yote unaweza kufanya malipo kidogo kidogo bila riba yeyote

Mfano nyumba ya Vyumba viwili vikubwa na self, sebule, jiko, store,jiko, dining room na choo cha public ni shiling milion 32 sasa wewe unaweza kutulipa asilimia 50% ya bei husika yaani mil 16 halafu sisi tutajenga nyumba yako yote baada ya hapo tunakuita kuja kuhakiki ukiridhika utamalizia hizo mil 16 zilizobakia taratibu bila riba yoyote ukimaliza kulipia tutakukabidhi nyumba yako na itakuwa chini ya uangalizi wetu kwa miaka mitatu chochote kitakachoharibika kitafanyiwa marekebisho bure na kampuni kwa Maelezo zaidi na sample za kazi zetu tembelea One2One Focus Company Limited[/URL] pia waweza kunipigia kwa namba 0763772636 au 0789047874 au waweza kunichek WhatsApp kwa 0763772636 karibuni sana milki Nyumba yako sasa
Pia tunahusika na upimaji wa viwanja kama una kiwanja chako ambacho hakijapimwa karibu tukupimie kwa bei rafiki kabisa nichek kwa 0763772636/0789047874

View attachment 472851View attachment 472852View attachment 472853View attachment 472854
www.one2onefocus.com whatsap 0763772636 au piga 0789047874/0763772636
Mkuu, ungeweka kila picha ya nyumba na ramani yake ili tuone umahiri wako, otherwise haileti maana.
 
Mkuu, ungeweka kila picha ya nyumba na ramani yake ili tuone umahiri wako, otherwise haileti maana.
Huwezi kuweka kila kitu hadharani mkuu, hii ni kazi kwa wahitaji wanakuja ofisini tunawaonyesha sample kila kitu
 
Mkuu ni kweli mnafanya kazi nzuri jitangazeni ktk radio. Tv ili watanzania wawe imani kwenu zaidi, watanzania wengi tunahitaji sana huduma km hizi. Unajua nasema hivyo kwa sababu unakuta labda upo mwanza unataka kujenga kilimanjaro sina mda wa kusimania ujenzi wa nyumba husika, pale unatafuta/ndugu rafiki asimamie ujenzi unashangaa unatuma tu hela, lakin siku unaenda kwenye nyumba unakuta madudu tupu. Una la kumfanya ndugu yako we unabaki unalia tu.
 
Kwakweli hata mimi nimeshangaa... maana thamani ya kiwanja tu ni karibia robo ya gharama ya nyumba...

Hata kama una kiwanja chako, 32M kujenga nyumba mpaka iishe, nna mashaka na uimara wa hiyo nyumba.
Nadhani hiyo 32m ni gharama za ufundi (labour charge) tu, gharama za vifaa (material) hazijajumuishwa humo. Vinginevyo iwe ni nyumba ya tope/miti.
 
Nadhani hiyo 32m ni gharama za ufundi (labour charge) tu, gharama za vifaa (material) hazijajumuishwa humo. Vinginevyo iwe ni nyumba ya tope/miti.
Hahahahaa dah! Kwakweli maana kama thamani yote... labour charge na material... hiyo nyumba itakuwa si ya kispotispoti
 
Mkuu ni kweli mnafanya kazi nzuri jitangazeni ktk radio. Tv ili watanzania wawe imani kwenu zaidi, watanzania wengi tunahitaji sana huduma km hizi. Unajua nasema hivyo kwa sababu unakuta labda upo mwanza unataka kujenga kilimanjaro sina mda wa kusimania ujenzi wa nyumba husika, pale unatafuta/ndugu rafiki asimamie ujenzi unashangaa unatuma tu hela, lakin siku unaenda kwenye nyumba unakuta madudu tupu. Una la kumfanya ndugu yako we unabaki unalia tu.
Asante sana Mkuu wangu kwa ushauri nakuahidi kulifanyia kazi barikiwa
 
Kweli watu hatufanani, kuna watu wanaona 32 milion ni ndogo!!!!!,,,,mimi nyumba ya 20 m ni maridadi kabisa kwangu
Mkuu savimbi JB sema wewe kiongozi maana watu wanadhani mil 32 huwez kujenga nyumba haya sasa wewe umejenga kwa mil 20 sijui watasema ni ya karatasi? Hahaha amkeni ndugu zangu Wa Tz ni wakati wako wa kutoka kwenye nyumba za kupanga sasa
 
Hahahahaa dah! Kwakweli maana kama thamani yote... labour charge na material... hiyo nyumba itakuwa si ya kispotispoti
Asprin ndugu yangu usilolijua ni sawa na usiku wa Giza Fanya research njoo upingane nami kwa fact kwamba hiyo mil 32 haitoshi kujenga nyumba ya kisasa nami nitakujibu with fact na nitakupeleka ukaone nyumba za wenzio zilizojengwa na ukague uimara wake usije na blaablaa tu
 
Good idea..

Mkuu wewe ni mfanyabiashara mkubwa sana.. Umeshindwa kiajiri architect afanye sample designs za Ku display? Maana unatuwekea mapicha picha ya mtandaoni ambayo yanatupa Mashaka kama kweli uko serious na kazi yako...

Pia, nyumba ya 32m regardless of location, soil conditions, plan size and the like ni uongo..

Me thinks.
Umejuaje mkuu kama ametoa mtandaoni??
 
Asprin ndugu yangu usilolijua ni sawa na usiku wa Giza Fanya research njoo upingane nami kwa fact kwamba hiyo mil 32 haitoshi kujenga nyumba ya kisasa nami nitakujibu with fact na nitakupeleka ukaone nyumba za wenzio zilizojengwa na ukague uimara wake usije na blaablaa tu

OK hebu tuanzie hapa:

Nyumba ya rooms 3 za kulala (moja ikiwa master), sebule, dinning, jiko, stoo na baraza mbili...

Tufanye ni nyumba ya kawaida kabisa ya sqmts 120

1. Inachukua tofali ngapi... (na bei yake ni shingapi uiweke pembeni)
2. Cement mifuko mingapi?
3. Mchanga kiasi gani?
4. kokoto kiasi gani?
5. Nondo kiasi gani?
6. Maji kiasi gani?
7. Labour charge mpk kuanzia msingi mpaka utayari wa kuezeka ni shingapi??

Tuendelee kwenye kupaua
1. Mbao za thamani ya shingapi?
2. Mabati (tusiweke vigae maana tutaaibishana) mangapi ya geji ipi na thamani yake...
3. Misumari
4. Gharama za usafirishaji
5. Labour charge

Turudi kwenye security
1. Grills za madirisha (tufanye madirisha 14)
2. Frames za milango ( tufanye 9)
3. Milango yenyewe... tufanye milango 6 tu, ikiwa na vitasa vyake)
4. labour charge

Tuende kwenye plumbing...
1. Mashimo ya vyoo na kuyajengea
2. Kutandaza mabomba ya maji safi na maji taka
3. labour charge

Haya Umeme
1. Nyaya zote na fittings
2.labour charge

Twende kwenye finishing
1. Plasta nyumba nzima... nje na ndani
2. Floor
3. Skimming
5. Blandering na ceiling boards
6. Rangi
7. Tiles (kama inalazimu)
8. Labor charge

Najua nimesahau vingi... lakini mpaka hapo ukipiga hesabu ya haraka... 32M ilishaishia kwenye kupaua.

No strings attached!!

Unajua mpaka michepuko yangu kina Sakayo, Shunie, emmyta na wengine kumi na saba... kwa bei yako watanishangaa kwanini mpaka leo sijawanunulia vitz kama nyumba ni rahisi namna hii kwa gharama zako....
 
Back
Top Bottom