But HB ni 11 wakati week mbili zilizopita ilikua 13.1kuishia kusema "mild normochromic anaemia" bado haijakamilika, japo kwa hapo tu inamaana kuna upungufu mdogo wa damu(seli nyekundu za damu) ambao hauhusishi upungufu wa madini ya chuma (yaani kiasi cha haemoglobin kwenye seli nyekundu za damu kipo kawaida).
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio ilibidi huko ulikopima wakuambie nini sababu(au wanahisi nini sababu) ya huo upungufu.But HB ni 11 wakati week mbili zilizopita ilikua 13.1
But HB ni 11 wakati week mbili zilizopita ilikua 13.1
Bleeding from pubic kama mwanamke ako periodInawezekana una majeraha labda tukuulize huna sehemu unavuja damu umeumia au labda???
Kama hujaumia inawezekana unavuja damu kwa ndani bila kujua au ni malaria
Ni vitu vingi mkuu rudi hospitali watakuelezea sababu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Bleeding from pubic kama mwanamke ako period
Less than a month pregnancy miscarried nkaenda Hosp wakanpga ultrasound wakaona imetoka ,wakasema hawawez kunipa sawa kwasab hakuna infection nkarud nyumban nimeblid cku zaid ya 25 nkakaa cku 5 tu nkaanza tena nkaenda hospital ikawa same thing wakasema huenda ni Normal period lakin ilikua bleeding ya siku Tisa wakat my normal menstruation huwa ni 3/4 days ikaja ikakata lakn ikawa inatoka discharge ya Brown sana kama inaenda black for almost four days baada ya siku zile Tisa nmekaa siku 21 nikaanza tena this time Leo day ya 5 ila ni excessive ndo maana nikarudi hospital nikapata vipimo 4 urinalysis,fbp ndo nikaona io mild chronomic anaemia na hcg quality n quantity ikawa ni11 pamoja na ultrasound ikaonesha right ovarian cyst Ddx dominant follicle nkarudisha majibu kwa specialist akanipa misoprostol co-amoxiclav na algic p nmetumia miso Jana nkaona damu imepungua ila znatoka maini- like things