Diploma ya clinical medicine anaweza kusoma veterinary medicine??

mozeh

JF-Expert Member
Mar 13, 2022
494
952
Wakuu habari zenu..

Naombeni kujuzwa kama myu mwenye diploma ya clinical medicine anaweza kusomea bachelor degree ya veterinary medicine?
 
Soma tcu admission guide ya equivalent qualifications itakupa idea au andika kwa principal, college of veterinary medicine and biomedical sciences-email inatosha.
 
Nimepitia tcu guide, kwa bvm wanataka background ya animal health au na animal production. Hivyo ni vigumu kupata admission.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom