Madhara na Minyoo Kiafya

Madhara na Minyoo Kiafya

nickhealthcare

New Member
Joined
Feb 8, 2023
Posts
1
Reaction score
1
Hapa tutajikumbusha madhara baadhi ya minyoo nasema baadhi kwa Sababu yako mengi.

📌 Mgonjwa anaweza kutapika damu
📌 Miwasho mikali kwenye puru na sehemu za siri kwa wanawake
📌 Inaweza kuathiri ini na tishu nyingine
📌 Inaweza kupelekea kupata ugonjwa wa anaemia
📌 Uchpvu, kupungua uzito na homa

Ukirejea katika taarifa iliyotolewa na @cloudstv

"Ni kweli nyama ya nguruwe ina minyoo isipokuwa imeandaliwa na kupikwa vizuri. Ile minyoo inavyokuwa inapoingia kwenye mwili wa binadamu yale mayai ndio yanaanza kuchevuka ndani ya tumbo halafu yananyonywa yanaingia kwenye Ini halafu yanatoka yanaingia kwenye mfumo wa damu baadae yanasambaa kwenye mwili wote na kuingia kwenye ubongo.

"Yakifika kwenye ubongo yanakuwa hadi kwenye kiwango fulani halafu yana-stop au yanaweza kufa. Inapo-stop Ile sumu ya kuharibika kwa ule minyoo ndio inaathiri ubongo. Yale mayai yanakuwa mengi kwenye ubongo. Na ubongo unapotanuka mgonjwa atalalamika kichwa kinamuuma baadae anapatwa na degedege ndio wanakuja hospitali tunaonana nao" Dr Lemeri L Mchome - Daktari Bingwa wa Upasuaji Ubongo MOI.
 
Back
Top Bottom