Milango ya kuelekea kuzimu kutokea duniani

Hawajasamehe braza..... wanapanga mikakati hao.... teeena now wanaanza na nchi maskini hasa za afrika... ushawahi kusikia kuhusu "HAMU MOVEEMENT"
 
Bado siamini kama idadi hiyo ya wayahudi milioni 6 ndio waliuawa. Sidhani kama walikuwa idadi hiyo kwa huko Ulaya
 
Hizi story ni exaggerated sana, hamna ukweli wala nini, ni watu na agenda zao za zionisim, Israel ya sasa tunayoaminishwa inatoka kwenye story hizi...
 
 
Jamaa alikuwa katili aisee
 
Pia kwa kuongezea hapo...

Kuna swala la dini..Rome wanted Jews out of the way..Pope wanted Jerusalem and Jews were like kizuizi mana they were holding Jerusalem.. So moja ya njia ni kuspread roman Cathorism kwa Africa and Europe Jews walipokuwepo. Na ku inflict the idea ya Jews are the enemies, kumbuka Jews were also spreading the true christianity.

Rome had to to find a way...kwa Africa they did it kwa kuintroduce Muslim ( unaeza google how they did it) na kwa Europe walitafuta wale strategic people hapo Hitler fell into their plan. So waka deal nae pia kuendelea kumjaza hate over Jews. .

So ukijumlisha na hayo mengine na hili la ku spread cathorism pia lilichangia kwa Hitler kua vile.
 
Mkuu hakuna mwanadamu yeyote ambae angeweza kusahau na kusamehe mauaji ya holocaust. Ni Mungu tu ndio anaweza kusamehe.
Nitakuja na uzi kuelezea hatua zilizochukuliwa na Myahudi baada ya holocaust.
Ulete tu mkuu
 
Huu Uzi umeletwa kapa kwa lugha ya kiswahili, wewe unakuja na vilugha vyako visivyokuwa na maana hata havieleweki.
 
Wayahidi NYUMBANI kwao kabisa ni Israel, ila mwaka 70 baada ya kristo walivamiwa, walipigwa na utawala wa kirumi chini ya jemedari aliyeitwa Tito hivyo kusambaratika katika nchi mbalimbali duniani, na mahali pao yaani nchi yao ya asili ikakaliwa na watu wengi ambao ni waarabu, (wapareatina) hivyo baada ya mateso mengi wliyoyapata huko ulaya, umoja wa mataifa ikabidi uwarejeshe tena kwenye nchi yao ya awali.
 
Mimi nilisikia Hitler alikimbilia kwenye milima ya SEKENKE huko mpakani mwa singida na taboura au nilikuwa naota
 
Mimi nilisikia Hitler alikimbilia kwenye milima ya SEKENKE huko mpakani mwa singida na taboura au nilikuwa naota
hitler alikuwa ni mbalabaigi kwa baba na kwa mama alikuwa ni msandawe sijafuatilia historia yake.
 
Ukiacha Wayahudi, watu waliouwawa walikuwa Mashahidi wa Yehova, Walemavu, Wakomunisti, Wazee, ombaomba pamoja na watu wenye matatizo ya akili.
Angewamaliza tuu ...Sindo hao mpaka Sasa hivi wanasumbua huko ukanda wa Gaza
 
Hivi ben saanane utakuta yupo sobibor za huku Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…