Kigonash
Senior Member
- Mar 20, 2020
- 113
- 106
Hawa wanatawala dunia kuna family inaitwa Rothshield ikiwa the family number one Freemasons hawa ni mpinga kristuHuwa nafikiria kwa jinsi Waisrael kwa sasa walivyotapakaa katika nchi mbalimbali haswa huko Ulaya na wengine wakiwa na nafasi kubwa kama wataalamu ndani ya majeshi ya nchi hizo ikiwepo Ujerumani..Ni kweli wameamua kusamehe na kusahau walichofanyiwa na Hitler ama nao wanatengeneza kambi za vifo kwa ajili ya Wajerumani?


