Milango ya kuelekea kuzimu kutokea duniani

mtoa mada pongezi kwako kiukweli nilifahamu tu kuwa waliuwa milioni sita hata sikujua walikufa namna gani?
 
Bonyeza post menu kule top right corner, then copy post content, hapo utakua umeipakua, nenda huko WhatsApp iPaste. Kuna vitu vitabadilika, hautoweza kupata picha, hautapata bolded sentence nk. Usisahau kutoa credit kwa Jamii Intelligence.
mkuu hata mimi ningependa kuisambaza watsap lakini baada ya kubonyez "copy post content" nikienda whatsap sehemu ya kupaste siioni mkuu.
 
Hitler Was a Christian


The Holocaust was caused by Christian fundamentalism:

History is currently being distorted by the millions of Christians who lie to have us believe that the Holocaust was not a Christian deed. Through subterfuge and concealment, many of today’s Church leaders and faithful Christians have camouflaged the Christianity of Adolf Hitler...

Soma zaidi: Hitler Was a Christian – Evil Bible .com
 
So what?!

Kuna msemo wa Ben Franklin naupenda sana. No disrespect!

"We are all born ignorant, but one must work hard to remain stu.pid."

Read the article, it answers your simple so what question.

A Christian leader killing 6 million people and you are asking "so what?"

What a wonderful world.
 
Hapo ndo tatizo linaanziaga mtu anachomeka mambo ya dini mahala pasipo husika!!
 
So what's your point? Mambo ya Christianity, sijui Jesus yametokea wapi mkuu. I'm Muslim by the way.

Don't you mention Jews in your article?

Don't you know that Muslims saved a lot of Jews during holocaust? And you never mention it? Why?

If there was a villain there must have been a hero. Simple.

http://ethiopiapandh.weebly.com/uploads/2/6/2/5/26252260/233347_orig.jpg

And you are asking a simple so what question?

Halafu bado unajisifu kuwa u Muislam?

Qur'an 2:
8. Na katika watu, wako wasemao: Tumemwamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho, wala wao si wenye kuamini
 
Back
Top Bottom