Kambi Maalumu ya Matibabu Dodoma (BMH)

Kambi Maalumu ya Matibabu Dodoma (BMH)

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,083
Reaction score
862
📌Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma wanakuletea Kambi maalumu ya huduma za ubingwa na ubobezi za uchunguzi na matibabu ya magonjwa, itakayofanyika katika Viwanja vya Soko la Machinga (Bahi Road) kuanzia Oct 8 - 12, 2026, walengwa katika kambi hii ni pamoja na Mama Lishe/Baba Lishe, Bodaboda/Bajaji, Madereva daladala na magari makubwa na wananchi wote kwa ujumla mnahimizwa kujitokeza kupata huduma
IMG-20261007-WA0050.jpg
 
Kwamba hao walengwa mlio orodhesha siyo wananchi ?
 
Back
Top Bottom