busy bees
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 2,249
- 1,348
- Thread starter
- #21
Mada yangu na maudhui ya lile nililokusudia liifikie jamii ... lingefikaje kwa uhalisia kama picha hiyo isingetumika? .....We pia umemdhalilisha kumuweka humu Jf!!!
Maana wengine wangekuja na hoja kuwa jambo kama hilo halipo na wangetaka picha ....
Yawezekana huyo binti (picha) akawa c mtanzania but atakuwa ni mfano halisi wa mabinti wa kitanzania wanaodhalilishwa tokana na mila na desturi zilizopitwa na wakati
