Ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaah, kama ni udhalilishaji mbona na wewe umekuwa wa kwanza kuja kutuonesha hii picha au huoni na wewe umeingia kwenye msitari mmoja na wadhalilishaji?Kuna baadhi ya makabila leo hii katika Tanzania yetu hii bado yamekumbatia MILA na DESTURI ambazo ni hakika zawadhalilisha dada na wadogo zetu wa kike .....
How comes mwamuweka binti eti KIGOLI kifua waziiiii "maziwa" nje kwa kila mtu kumuona?
Nashukuru kwa kuwa mmoja wa wachangia mada ili tujifunze pamoja .... kama ungepitia maelezo yangu ya awali ... ungekuwa tayari na jibu la swali lakoHa ha ha ha ha ha ha haaaaaaah, kama ni udhalilishaji mbona na wewe umekuwa wa kwanza kuja kutuonesha hii picha au huoni na wewe umeingia kwenye msitari mmoja na wadhalilishaji?
Madada wa mjini either ktk uvaaji wao tu ama wale wanaojiuza hiyo ni HULKA yao .... ni maamuzi yao wenyewe kuyaacha MAUNGO yao (maziwa, mapaja nk) wazi .....Leo unaona ni udhalilishaji, je kwa wayafanyayo madada wa mjini ni niini??