MILA zingine ni UDHALILISHAJI .... tuziache

Kuna baadhi ya makabila leo hii katika Tanzania yetu hii bado yamekumbatia MILA na DESTURI ambazo ni hakika zawadhalilisha dada na wadogo zetu wa kike .....

How comes mwamuweka binti eti KIGOLI kifua waziiiii "maziwa" nje kwa kila mtu kumuona?
Tuna ubongo uliopungua ubora.
kabla hujasema maneno meeengi jadili neno DHALILI
Mimi naona tumemtangaza ubora wake, na kweli yeye sii dhalili maana ni mrembo hasaaa na urembo wake sii kificho.
Labda kama una auto stigmatized brain.
 
Dah enzi zangu nsingemwacha apite hivihivi, lazma angeuchezea mtalimbo
 
Huyo binti sio dhaliki, ni mrembo wa haja, anaweza kumtoa nyoka pangoni, anaweza kuiahirisha hasira ya mfalme, hawi dhalili, ni mwenye utayari wa kuyakabili majukumu, ni jasiri, ni mwenye upendo, upendo dhahiri, ni mpole na ulimbwende wake hauhitaji cheti cha kuzaliwa.

Njooni na hoja sio fadhaa ya mioyo yenu toeni hoja ya udhalili ni upi hapo.
Mada yangu na maudhui ya lile nililokusudia liifikie jamii ... lingefikaje kwa uhalisia kama picha hiyo isingetumika? .....

Maana wengine wangekuja na hoja kuwa jambo kama hilo halipo na wangetaka picha ....

Yawezekana huyo binti (picha) akawa c mtanzania but atakuwa ni mfano halisi wa mabinti wa kitanzania wanaodhalilishwa tokana na mila na desturi zilizopitwa na wakati
 
Tuna ubongo uliopungua ubora.
kabla hujasema maneno meeengi jadili neno DHALILI
Mimi naona tumemtangaza ubora wake, na kweli yeye sii dhalili maana ni mrembo hasaaa na urembo wake sii kificho.
Labda kama una auto stigmatized brain.
" ..... tuna ubongo uliopungua ubora" .... na .... "labda kama una auto stigmatized brain" .... asante mkuu mie cna neno zaidi
 
Kuna baadhi ya makabila leo hii katika Tanzania yetu hii bado yamekumbatia MILA na DESTURI ambazo ni hakika zawadhalilisha dada na wadogo zetu wa kike .....

How comes mwamuweka binti eti KIGOLI kifua waziiiii "maziwa" nje kwa kila mtu kumuona?
Usipende kuingilia tamaduni za watu kama wao wanaona iko poa wewe unasema udhalilishaji unamaana gani? Au kwa vile umekaririshwa Basi unaona udhalilishaji acha ujinga dogo
 
Huyo binti sio dhaliki, ni mrembo wa haja, anaweza kumtoa nyoka pangoni, anaweza kuiahirisha hasira ya mfalme, hawi dhalili, ni mwenye utayari wa kuyakabili majukumu, ni jasiri, ni mwenye upendo, upendo dhahiri, ni mpole na ulimbwende wake hauhitaji cheti cha kuzaliwa.

Njooni na hoja sio fadhaa ya mioyo yenu toeni hoja ya udhalili ni upi hapo.
Je ninyi mwafurahia maziwa yake kuwa nje ? .... twatofautiana mitazamo
 
Huku bongo isingekuwa sheria, kwa trend inavyoonekana, wadada wengi naona wangetupa kule vitopu vyao na kuwa kama huyo tu
 
Usipende kuingilia tamaduni za watu kama wao wanaona iko poa wewe unasema udhalilishaji unamaana gani? Au kwa vile umekaririshwa Basi unaona udhalilishaji acha ujinga dogo
"acha ujinga dogo" ..... kuyatoa mawazo yako ni haki kabisa maana hili ni jukwaa huru ..... je kulikuwa na haja ya mie kutukanwa?
 
Huku bongo isingekuwa sheria, kwa trend inavyoonekana, wadada wengi naona wangetupa kule vitopu vyao na kuwa kama huyo tu
% kubwa sana mtazamo wako ni sahihi .... na ndivyo pia sehemu kubwa ya jamii hasa (wanaume) inapenda
 
Je ninyi mwafurahia maziwa yake kuwa nje ? .... twatofautiana mitazamo
Maziwa ni yake!!
Akiyaacha wazi yanaendelea kuwa yake!
Haina maana akiyafunika au kuyavika nguo ndio yanakuwa yake au kuongeza ubora.
A na B ni sawa.

Ikiwa hataki kuyaacha wazi akatokea mtu akamlazimisha hilo ni jambo jingine kabisa, ambalo ni baya ndio linabeba elements za udhalilishaji, lakini kama sii hivyo mwacheni binti afurahie umri alionao maana hayo maziwa unakuja muda hayataweza kusimama hivyo tena.

NASISITIZA SIJAONA ELEMENTS ZA UDHALILISHAJI HAPO.
 
"acha ujinga dogo" ..... kuyatoa mawazo yako ni haki kabisa maana hili ni jukwaa huru ..... je kulikuwa na haja ya mie kutukanwa?
Hakuna haja ya kutukanwa (kwa namna iwayo yote)
Tujenge hoja kiutu uzima.
Pole mkuu.
 
Maziwa ni yake!!
Akiyaacha wazi yanaendelea kuwa yake!
Haina maana akiyafunika au kuyavika nguo ndio yanakuwa yake au kuongeza ubora.
A na B ni sawa.

Ikiwa hataki kuyaacha wazi akatokea mtu akamlazimisha hilo ni jambo jingine kabisa, ambalo ni baya ndio linabeba elements za udhalilishaji, lakini kama sii hivyo mwacheni binti afurahie umri alionao maana hayo maziwa unakuja muda hayataweza kusimama hivyo tena.

NASISITIZA SIJAONA ELEMENTS ZA UDHALILISHAJI HAPO.
Miaka ya nyuma nikiwa eneo la kitunda, Dar ... kulipita kundi la VIGORI barabarani mtaani kwetu kama 15 ama 20 hivi wakiwa maziwa nje na nyuma ya kila mmojawao mama mtu mzima ..,.. nilipouliza nkaambiwa wanapelekwa UNYAGONI ....

Kundi kubwa la watoto na vijana wa kiume lilikuwa likiwafuata huku likishangilia .... watu wengi (hasa watu wazima) hawakufurahishwa na jambo lile

Hiyo ni mila ya makabila mengi hasa ya pwani.

Swali: Ni upi mtazamo wako ktk hilo?
 
Hiyo mila haina tatizo wa mapungufu yoyote.
Bali kuna mabadiliko makubwa kwenye mfumo wa maisha ya watu unaochagizwa na mwingiliano wa tamaduni mbali mbali zisizo fanana kabisa.
Kama ujuavyo mjini hakuna kiranja wa maadili, kidogo kijijini bado kuna ukakamavu kwenye kusimamia pamoja desturi.
Ndio maana uliwaona wale wamama nyuma ya kila kigori (shughuli yake ilikuwa kusimamia ninachokiita maadili na desturi ya mila husika)
Vijana waliounga tela kufuata msafara naweza kusema zunga/zunka za magovi yao zilikatiwa hospitali kwa namna hiyo wamekosa mafunzo pekee kiumeni yanayomwandaa kijana kuwa mwaminifu na mtiifu kwa mila yao iliyosheheni desturi za kujivunia (naam ni zao shuruti wajivunie)

Niweke kituo kidogo kwa kusema hiviiiii!!!
Usishangae ndoa kutokudumu nowadays kilichopo nyuma yake ni kuwa jamii ya kikeni inafundishwa (unyagoni) majukumu yao kwenye familia na integration yao na jamii ya kiumeni LAKINI jamii ya kiumeni imelipoteza jukumu hilo completely kiasi kwamba mwanamume kijana hana mahali atafundishwa thamani yake kwa mkewe na kwenye familia yake na jamii kwa ujumla. Hakuna JANDO any more.
Ndio maana vidume havijui mashine ilipo vinapeleka kwenye 0713.

Ataishia kulishwa ujinga kuwa umwanaume ni kudindisha masaa mawili mfululizo, au kudinya kisawasawa ni kukongomeka kirungu cha mmasai kiingie ndani sanaaa, kumbe kuna elimu yake.

Nmekupata mkuu
 
hakuna udhalilishaje wowote hapo,tukirudi miaka 50 (hamsini) nyuma lilikuwa siyo jambo la ajabu,.ilikuwa sehemu ya utamaduni wetu na watu waliheshimiana,huu ustaarabu wa mwarabu na mzungu ndio unauona mzuri?!,
 
Kupost hiyo picha ikiwa na maziwa wazi ni udhalilishaji piya kwa namna moja au nyingine.
 
Back
Top Bottom