X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,700
- 14,768
HAKUNA uzalilishaji mheshimiwa tatizo hizi western educationa tulizopata ndio zinatufanya tuacha kabisa mila zetu....babu zetu walikuwa wakifanya mambo hayo na enzi hizo hawakuona kabisa kama ni uzalilishaji...ila now a days nahisi yamepitwa na wakati. ndio maana uajasiri kwa vijana umetutoka kabisa