najiuliza mara zote wazee wetu mia tano waliwezaje kupelekwa utumwani na weupe wawili!
najiuliza mara zote wazee wetu mia tano waliwezaje kupelekwa utumwani na weupe wawili!
hivi uraia pacha inakuwaje? nataka niwape nafasi ya kuwa majasiri vijana kwa kuwa wapalestina wa kujiandikisha.
View attachment 324589
Pale mtu akiamini atendewavyo si haki, na ya kwamba ameshindwa kuvumilia, huwa hana anacho kiogopa! raia wa Uganda na mfuasi Kizza Besigye akiwatolea uvivu polisi kwa maneno makali huku akiwatishia kuwa jeruhi kwa chupa ya bia.
Dogo anamwambia mkuda rudi ulikotoka hapa hupiti wala hukai!! Kudadadeki
Hukusoma colonial adminstration system o level? Kiufupi wazungu hawakuhusika moja kwa moja kwa makoloni yao ya kiafrika bali waliwateua watu(vibaraka) kutoka ndani ya jamii tawaliwa ili kurahisisha shughuli zao za kitawala. Hivyo waliokuwa wakiwafunga pingu waafrika na kuwapeleka sokoni marekani na ulaya ni watu mweusi.najiuliza mara zote wazee wetu mia tano waliwezaje kupelekwa utumwani na weupe wawili!
hivi uraia pacha inakuwaje? nataka niwape nafasi ya kuwa majasiri vijana kwa kuwa wapalestina wa kujiandikisha.