Mikwara kwa mikwara

Mikwara kwa mikwara

najiuliza mara zote wazee wetu mia tano waliwezaje kupelekwa utumwani na weupe wawili!

hivi uraia pacha inakuwaje? nataka niwape nafasi ya kuwa majasiri vijana kwa kuwa wapalestina wa kujiandikisha.
Ndio hujue nasuala ya utumwa ni stori tu za Wazungu kutuzarau Waafrika watu wa zamani walijua na nguvu kuliko sisi wa sasa iweje uwafunge kamba kibwege bwege?
 
Hujawahi kuona MTU ametumbuliwa live wewe
Mbona utakwenda
 
Ndio hujue nasuala ya utumwa ni stori tu za Wazungu kutuzarau Waafrika watu wa zamani walijua na nguvu kuliko sisi wa sasa iweje uwafunge kamba kibwege bwege?
Bora Babu zetu walikuwa hawajasoma na kuna wengine walikataa utumwa mpaka tone la mwisho, kuliko sisi tumesoma mpaka udaktari na tunasapoti utumwa na kuuza na kuwa-betray waafrika wenzetu.

Ona migodi, mashamba, mafuta etc.

Tumekuwa hovyo kuliko Mababu zetu!!!

Laiti tungeipenda tz kama wapalestina waipendavyo nchi yao.
 
Bora Babu zetu walikuwa hawajasoma na kuna wengine walikataa utumwa mpaka tone la mwisho, kuliko sisi tumesoma mpaka udaktari na tunasapoti utumwa na kuuza na kuwa-betray waafrika wenzetu.

Ona migodi, mashamba, mafuta etc.

Tumekuwa hovyo kuliko Mababu zetu!!!
Acha uongo wewe.
 
Jiwe v Bunduki
Chupa v Boot
Kofia v Helmet
Fimbo. V Kirungu
Jeans v Combat
Kamba v Mkanda
Ushuzi v Bomu
aa80592fb60aaa938c2f92449a6a474a.jpg
 
Ndio hujue nasuala ya utumwa ni stori tu za Wazungu kutuzarau Waafrika watu wa zamani walijua na nguvu kuliko sisi wa sasa iweje uwafunge kamba kibwege bwege?
ndio maana nashindwa kuelewa hili!
 
Attachments

  • Screenshot_2016-02-22-14-31-15.png
    Screenshot_2016-02-22-14-31-15.png
    59.8 KB · Views: 20
Back
Top Bottom