Mkuu unazungumzia you tube na Facebook kwa siasa za watanzania? Bado sana. Hata hiyo mikutano ya Wabunge ambao hawazidi 20% ni Shida kwanza huko waliko ma RC na DC wako midomo wazi kama mamba kuwadhibitisidhani kama hii ni excuse bana. there're several ways of skinning a cat.....
kitu gani kinawafanya washindwe kutumia social media (youtube, facebook, whatsapp, instagram, twitter, etc)? wakitoa nondo zao kupitia means hizo magazeti yata-pick na wananchi watakutana nazo kwenye magazeti.
au, wameshindwa hata kuitisha fortnightly media conferences?
au, wameshindwa hata ku-capitalize on ruksa waliyopewa wabunge wao ya mikutano majimboni?
ama, hata kutoa matamko ya uamsho kupitia vikao vya ndani ambavyo tunajua vimeruhusiwa?
last but not least...kwa nini wasianzishe propaganda machinery kama radio au tv? why not???
disgusted!
Unafurahisha wewe mwenye kipato cha angalau million kwa mwezi huwezi nunua gazeti hata kwa wiki mara 2 huyo mwananchi anayeishi madongo kinama mwenye kipato cha laki moja kwa mwezi ndio ata e eza kununua gazetisidhani kama hii ni excuse bana. there're several ways of skinning a cat.....
kitu gani kinawafanya washindwe kutumia social media (youtube, facebook, whatsapp, instagram, twitter, etc)? wakitoa nondo zao kupitia means hizo magazeti yata-pick na wananchi watakutana nazo kwenye magazeti.
au, wameshindwa hata kuitisha fortnightly media conferences?
au, wameshindwa hata ku-capitalize on ruksa waliyopewa wabunge wao ya mikutano majimboni?
ama, hata kutoa matamko ya uamsho kupitia vikao vya ndani ambavyo tunajua vimeruhusiwa?
last but not least...kwa nini wasianzishe propaganda machinery kama radio au tv? why not???
disgusted!
Unaifahamu cybercrime act,2015sidhani kama hii ni excuse bana. there're several ways of skinning a cat.....
kitu gani kinawafanya washindwe kutumia social media (youtube, facebook, whatsapp, instagram, twitter, etc)? wakitoa nondo zao kupitia means hizo magazeti yata-pick na wananchi watakutana nazo kwenye magazeti.
au, wameshindwa hata kuitisha fortnightly media conferences?
au, wameshindwa hata ku-capitalize on ruksa waliyopewa wabunge wao ya mikutano majimboni?
ama, hata kutoa matamko ya uamsho kupitia vikao vya ndani ambavyo tunajua vimeruhusiwa?
last but not least...kwa nini wasianzishe propaganda machinery kama radio au tv? why not???
disgusted!
Mkuu naungana nawe katika hili. 2020 ni zama za mgombea kuwa mpambanaji wa kweli kweli yaani hata mkifika mahali mumechoka na mchakamchaka yeye bado yupo imara, anajua nini anazungumza katika kila sekta, sio mwoga kwani ukija kistarabu ni mstaarabu lakini ukileta mbwai basi kwake na iwe mbwai. Huyo tunatakiwa tumtengeneze mapema sana.Mkuu ukweli ni kuwa Lowassa tulimpigania kwenye kampeni kwa sababu ya chama ila kwa 2020 ni lazima Chadema iandae mtu anayeonekana kweli anaweza siasa na siyo kurudia ya 2015.. Nashangaa kuona eti mwezi mzima, miezi inaisha katibu mkuu wa chama kama Chadema hasikiki kwenye media! Hiyo ni aibu kubwa na hasa ukiona mambo yanayoendelea nchini!
kuto-communicate na wananchi sera mbadala kupitia cyber platform siyo crime.Unaifahamu cybercrime act,2015
nadhani umedandia train vibaya. nisome tena kabla hujadondoka, chief.Unafurahisha wewe mwenye kipato cha angalau million kwa mwezi huwezi nunua gazeti hata kwa wiki mara 2 huyo mwananchi anayeishi madongo kinama mwenye kipato cha laki moja kwa mwezi ndio ata e eza kununua gazeti
Mkuu kwa katiba ya nchi yetu 2020 lazima aingie muhula wa pili hata msipompa kura..ikiwa ata deliver on his campaign promises atakuwa salama.
..lakini asipo deliver hizi kauli zake zenye ukakasi zitamletea matatizo makubwa kwenye campaign za 2020.
..ila ukawa wasifanye makosa waliyofanya 2015. Lowassa was not inspiring at all. Yaani ilikuwa inatia huruma.
Cc MTAZAMO
Ni mtu gani alieweka record ya kupata kura nyingi alipogombea kupitia upinzani?
Inamaana Act wafanye mikutano kigoma peke yake?Vyama ambavyo havina wabunge ndio marufuku kufanya mikutano?Katiba imeruhusu watu kufanya mikutano,iweje wasio na wabunge wanyimwe haki hiyo?Tuwe wakweli Mungu anatuona.Mikutano imeruhusiwa lakini Mbunge afanye mkutano jimboni kwake.Wabunge wa upinzani wangapi wametumia fursa hii?Tuache kuongea uongo
Mm nilidhani na naamini Kukishinda chama tawala ni lazima watatue kero za wananchi na kuisimamia serikali ipasavyo ktk majimbo yao
hata bila ya kuwepo hali si shwariKila alifanyalo au kusema lingekuwa na majibu kisiasa na ni majukwaani kila mtu anasikia.
Hivi sasa wanasiasa wa upinzani hawana pa kuzungumzia lakini ni kama vile kauli za Mhe Rais, matendo yake na hali halisi ya maisha na kiuchumi yanajichanganya na kujijibu na nyota yake kufanya ififie.
Jee wanasiasa hao nayo wangekuwa huru kujibu kama katiba inavyo waruhusu hali ya bwana mkubwa kisiasa ingekuwaje?
Au alilijua hilo ndio maana kaamua kuweka zuio?
Mkuu unazungumzia you tube na Facebook kwa siasa za watanzania? Bado sana. Hata hiyo mikutano ya Wabunge ambao hawazidi 20% ni Shida kwanza huko waliko ma RC na DC wako midomo wazi kama mamba kuwadhibiti
mkuu hivi kwa sasa mbunge wa arusha mjini kwa sasa yuko wapi?mkuu, kutumia social media kwa siasa za Watanzania kuna ugumu gani? kikubwa ni kuhakikisha message inakuwa picked na vyombo vilivyo karibu na wananchi kama magazeti, radio, tv, nk. these people just need to think outside the box bana!
kama wabunge wanawaogopa RCs na DCs kuitisha mikutano then sidhani kama wabunge hao wanatufaa. wanachotakiwa kufanya is to keep those RCs & DCs on their toes ambao itafika mahala watafanya vitu stupid ambavyo vitawapa credit upinzani. wabunge wa upinzani seriously need to be creative!
ndiyo maana RC wa Arusha hivi juzi alitaka ku-score political mileage kwa ku-capitalise on the vacuum created by a quiet and an effective opposition.
tukiendelea kunung'unika hivi badala ya kuwa proactive, upinzani kwishnei!
Mkuu kwa katiba ya nchi yetu 2020 lazima aingie muhula wa pili hata msipompa kura
Shida ni moja mkuu. Wabunge wa upinzani wako sehemu ndogo tuu ya maeneo ya nchi na eneo kubwa linakosa wazungumzaji kwa vile hakuna wawakilishi hivyo katazo hilo bado ni shida.mkuu, kutumia social media kwa siasa za Watanzania kuna ugumu gani? kikubwa ni kuhakikisha message inakuwa picked na vyombo vilivyo karibu na wananchi kama magazeti, radio, tv, nk. these people just need to think outside the box bana!
kama wabunge wanawaogopa RCs na DCs kuitisha mikutano then sidhani kama wabunge hao wanatufaa. wanachotakiwa kufanya is to keep those RCs & DCs on their toes ambao itafika mahala watafanya vitu stupid ambavyo vitawapa credit upinzani. wabunge wa upinzani seriously need to be creative!
ndiyo maana RC wa Arusha hivi juzi alitaka ku-score political mileage kwa ku-capitalise on the vacuum created by a quiet and an effective opposition.
tukiendelea kunung'unika hivi badala ya kuwa proactive, upinzani kwishnei!
mkuu, hata hizo sehemu chache tunataka tusikie sauti zao. media ipo. mpinzani akifanya kitu kizuri Sumbawanga, wa Pemba, Mtwara, Chato, etc watajua kupitia media. kikubwa someone must do/say something cha ku-inspire watu. injili itaenea tu pasi na shaka!Shida ni moja mkuu. Wabunge wa upinzani wako sehemu ndogo tuu ya maeneo ya nchi na eneo kubwa linakosa wazungumzaji kwa vile hakuna wawakilishi hivyo katazo hilo bado ni shida.
Labda uniambie mahali kama Lindi kama wana diwani anaanda mkutano huku kesha mpanga kiongozi wa kitaifa au mashuhuri kama mgeni mwalikwa. Hapo watawala watafanya nini kwani kuna sheria ya kunzuia mtu kukaribishwa mahali?