Mikutano ya Siasa Ingekuwa Huru, Rais Magufuli Angekuwa Hoi Kisiasa

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
35,965
2,000
Kila alifanyalo au kusema lingekuwa na majibu kisiasa na ni majukwaani kila mtu anasikia.

Hivi sasa wanasiasa wa upinzani hawana pa kuzungumzia lakini ni kama vile kauli za Mhe Rais, matendo yake na hali halisi ya maisha na kiuchumi yanajichanganya na kujijibu na nyota yake kufanya ififie.

Jee wanasiasa hao nayo wangekuwa huru kujibu kama katiba inavyo waruhusu hali ya bwana mkubwa kisiasa ingekuwaje?

Au alilijua hilo ndio maana kaamua kuweka zuio?
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
20,115
2,000
..ikiwa ata deliver on his campaign promises atakuwa salama.

..lakini asipo deliver hizi kauli zake zenye ukakasi zitamletea matatizo makubwa kwenye campaign za 2020.

..ila ukawa wasifanye makosa waliyofanya 2015. Lowassa was not inspiring at all. Yaani ilikuwa inatia huruma.

Cc MTAZAMO
 
Ngapulila

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
751
1,000
Kweli, saizi anasika yeye kwakuwa kawazuia wengine. Muoga sana aisee.
Tuwe wakweli Mungu anatuona.Mikutano imeruhusiwa lakini Mbunge afanye mkutano jimboni kwake.Wabunge wa upinzani wangapi wametumia fursa hii?Tuache kuongea uongo

Mm nilidhani na naamini Kukishinda chama tawala ni lazima watatue kero za wananchi na kuisimamia serikali ipasavyo ktk majimbo yao
 
Massenberg

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
1,173
2,000
Idara gani ya katiba imesema hivi ulivyoandika?
Tuwe wakweli Mungu anatuona.Mikutano imeruhusiwa lakini Mbunge afanye mkutano jimboni kwake.Wabunge wa upinzani wangapi wametumia fursa hii?Tuache kuongea uongo

Mm nilidhani na naamini Kukishinda chama tawala ni lazima watatue kero za wananchi na kuisimamia serikali ipasavyo ktk majimbo yao
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
20,115
2,000
Tuwe wakweli Mungu anatuona.Mikutano imeruhusiwa lakini Mbunge afanye mkutano jimboni kwake.Wabunge wa upinzani wangapi wametumia fursa hii?Tuache kuongea uongo

Mm nilidhani na naamini Kukishinda chama tawala ni lazima watatue kero za wananchi na kuisimamia serikali ipasavyo ktk majimbo yao
..60%++ ya majimbo yako chini ya ccm.

..sasa huoni kwamba wapinzani watapenda kufanya siasa ktk maeneo hayo?

..ccm kwasababu ni chama tawala wana access na majimbo yote Tz kwasababu Mwenyekiti wa CCM anateua wakuu wa mikoa na wilaya ambao ni makada wa ccm. Makada hao wamekuwa na kawaida ya kuhujumu juhudi za wabunge wa vyama vya upinzani.

..Uamuzi wa Raisi ulilenga kudhoofisha vyama vya upinzani.
 
Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,289

Acha akili za loosers wa tanzania,wasomi wetu ndio wanafikra za kurudirudi nyuma hivi. bado huwezi kimbia duara la ccm, kwa kila kitu. Your are too coward. Huyo hapa kazi tuu hata wabunge wawili tuu wa UKAWA LEMA NA SUGU WANGERUHUSIWA angejipiga kichwa chini. hayo maelezo yako hayana roho wala uhai.

Hizo story za blah blah...kisha kumalia ila upinzani sijui bado sana.Ni za loosers na laana ya hii nchi.Ulitaka upinzani nani awajibike nao bila wewe?Si ujipambanue tuu km ni wa ccm kuliko kuwa laana. kero za wananchi kuna nyingine zimekusanywa ktk uwepo wa ccm kuzitoa ni kuitoa ccm.sasa unataka ipi kujidai kwamba kero ndio muhimu kwako?
 
Nkobe

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
2,055
2,000
..ikiwa ata deliver on his campaign promises atakuwa salama.

..lakini asipo deliver hizi kauli zake zenye ukakasi zitamletea matatizo makubwa kwenye campaign za 2020.

..ila ukawa wasifanye makosa waliyofanya 2015. Lowassa was not inspiring at all. Yaani ilikuwa inatia huruma.

Cc MTAZAMO
Ni mtu gani alieweka record ya kupata kura nyingi alipogombea kupitia upinzani?
 
Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,289
2,000
..60%++ ya majimbo yako chini ya ccm.

..sasa huoni kwamba wapinzani watapenda kufanya siasa ktk maeneo hayo?

..ccm kwasababu ni chama tawala wana access na majimbo yote Tz kwasababu Mwenyekiti wa CCM anateua wakuu wa mikoa na wilaya ambao ni makada wa ccm. Makada hao wamekuwa na kawaida ya kuhujumu juhudi za wabunge wa vyama vya upinzani.

..Uamuzi wa Raisi ulilenga kudhoofisha vyama vya upinzani.
CCM ni laana.
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
11,748
2,000
Kila alifanyalo au kusema lingekuwa na majibu kisiasa na ni majukwaani kila mtu anasikia.

Hivi sasa wanasiasa wa upinzani hawana pa kuzungumzia lakini ni kama vile kauli za Mhe Rais, matendo yake na hali halisi ya maisha na kiuchumi yanajichanganya na kujijibu na nyota yake kufanya ififie.

Jee wanasiasa hao nayo wangekuwa huru kujibu kama katiba inavyo waruhusu hali ya bwana mkubwa kisiasa ingekuwaje?

Au alilijua hilo ndio maana kaamua kuweka zuio?
sidhani kama hii ni excuse bana. there're several ways of skinning a cat.....

kitu gani kinawafanya washindwe kutumia social media (youtube, facebook, whatsapp, instagram, twitter, etc)? wakitoa nondo zao kupitia means hizo magazeti yata-pick na wananchi watakutana nazo kwenye magazeti.

au, wameshindwa hata kuitisha fortnightly media conferences?

au, wameshindwa hata ku-capitalize on ruksa waliyopewa wabunge wao ya mikutano majimboni?

ama, hata kutoa matamko ya uamsho kupitia vikao vya ndani ambavyo tunajua vimeruhusiwa?

last but not least...kwa nini wasianzishe propaganda machinery kama radio au tv? why not???

disgusted!
 
yegella

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,114
1,250
Kila alifanyalo au kusema lingekuwa na majibu kisiasa na ni majukwaani kila mtu anasikia.

Hivi sasa wanasiasa wa upinzani hawana pa kuzungumzia lakini ni kama vile kauli za Mhe Rais, matendo yake na hali halisi ya maisha na kiuchumi yanajichanganya na kujijibu na nyota yake kufanya ififie.

Jee wanasiasa hao nayo wangekuwa huru kujibu kama katiba inavyo waruhusu hali ya bwana mkubwa kisiasa ingekuwaje?

Au alilijua hilo ndio maana kaamua kuweka zuio?
Yaani kusingekuwa na zile sheria sijui za mitandao, za vyombo vya habari halafu aruhusu siasa za majukwaani kama katiba inavyo ruhusu yaani aache udikteta haki sipati picha...
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
35,965
2,000
Asichokijua ni kuwa kuwazuia kusema sasa ni kulikuza jipu alilo nalo. Siku wakipata muda wa kumtumbua hilo donda litakalo jitokeza hapo hataweza hata kusimama. Na litakuwa lineoza hakuna atakaye himili harufu yake
 
G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
10,635
2,000
Lakini hii haiwezi kuwazuia wana siasa kumjibu bali pia kina watu kama Mashinji sijui ni uvivu? Angeenda hata kwenye media kama alivyokuwa anafanya Slaa ingetosha.

Ukweli utuweke huru kuwa kina Mashinji wameshindwa kutumia mwanya huo kuitangaza Chadema.

Siasa za CCM na Magufuli kwa sasa ni nyepesi mno na kina Mashinji wangeweza kiubuka kama wangetumia nafasi vizuri.

Kumbuka kuwa alivyokuwa anafanya Slaa iliwafanya hadi wanasiasa wengine kuingia majukwaani kwa lazima na hilo ndilo linalonifanya nimkubali Slaa hata akiamua kurudi Chadema nimpiganie!!

Chadema ya sasa ambayo kimsingi inatakiwa kuwa chini ya Mashinji imepwaya na imewafanya wengine kuweka majeshi kambini. Natamani kila mwana Chadema aelewe hilo na siyo kutoa kisingizio cha tumezuiwa!

Haiwezekani leo eti kwenye mikutano mzungumzaji mkuu awe Lowassa huku kina Mashinji wakimzindikiza! Hiyo ni aibu kubwa kwa Chadema!!
 
G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
10,635
2,000
Mkuu ukweli ni kuwa Lowassa tulimpigania kwenye kampeni kwa sababu ya chama ila kwa 2020 ni lazima Chadema iandae mtu anayeonekana kweli anaweza siasa na siyo kurudia ya 2015.. Nashangaa kuona eti mwezi mzima, miezi inaisha katibu mkuu wa chama kama Chadema hasikiki kwenye media! Hiyo ni aibu kubwa na hasa ukiona mambo yanayoendelea nchini!
 
Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,689
2,000
Kila alifanyalo au kusema lingekuwa na majibu kisiasa na ni majukwaani kila mtu anasikia.

Hivi sasa wanasiasa wa upinzani hawana pa kuzungumzia lakini ni kama vile kauli za Mhe Rais, matendo yake na hali halisi ya maisha na kiuchumi yanajichanganya na kujijibu na nyota yake kufanya ififie.

Jee wanasiasa hao nayo wangekuwa huru kujibu kama katiba inavyo waruhusu hali ya bwana mkubwa kisiasa ingekuwaje?

Au alilijua hilo ndio maana kaamua kuweka zuio?
Hivi kwanini hamkushinda uchaguzi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom