profkobayashi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 224
- 71
Juzi na jana tumefanya mkutano wa Disapora hapa London na kama kawaida sie watu wa kuanzisha haya mambo halafu wenzetu wa sehemu zingine wanafuata
Mfano:
Ufunguzi wa matawi ya CCM kama uyoga ulianzia hapa lakini hii ni baada ya CUF kuanza mipango hiyo in 1995
Kuwakataa mabalozi openly ? Naam hapa London ndio nyumbani kwake...ushahidi ni yule bwana aliyeondoka kabla ya bi mkubwa kuja hapa
Kuunda Associations ambazo hatujui zinafanya nini?...well huku ndio kwenyewe mpaka zingine zinapewa nafasi za mikutano na mheshimiwa balozi kwa kuamini kuwa zina mipango kabambe ya kuendeleza waTZ waliopo hapa....
Then tukaja na kitu kinaitwa investors forums...well what can I say imekuwa ni talk shop kuliko hata Jamii Forums
Sasa tukaja na hiii michongo ya DIASPORA... ambayo on paper they are so fantastic...lakini ina charactersitics zifuatazo:
Inafanywa mbali na wanakoishi hao watu wa Diaspora wengi
Huwa inakuwa na ukata wa kutisha
Kufanya mkutano siku ya work day na kutegemea attendance kubwa ili hali mnajua everyone is trying to do their bit kwenye hii "ROAD TO RECOVERY"
TRA, CRDB, TPA na bila kusahau PPF wanaendelea na mipango yao ya kutuletea watu ambao hawezi kujibu maswali wala kujieleza (TRA), ambao si wa kweli (CRDB & and their useless cards zinazochukua miaka 2 kuwa printed), bila kusahau TPA ambao kila swali wanaloulizwa hutupa mpira kwa TSCAN operators na TRA na bila kusahau PPF ambao bora wasituletee watu kabisaaa!
Then kuna hilo la kutokuwepo kwa jamii ambayo ni kubwa zaidi ya diaspora hapa (WATU WA VISIWANI). Ukiuliza utaambiwa ahhh wenyewe hawapendi kujishughulisha na wao ukiwauliza watakwambia hawezi kujishughulisha na watu ambao wanawa dharau lakini so far nimeambiwa wengi wao wako EAST LONDON sasa iweze wasafiri saa zaidi ya moja kwenda WEST LONDON as if East hakuna kumbi za mikutano.
Mheshimiwa Kalaghe na watu wako jaribuni kuendeleza mikakati iliyowekwa na Bi Mkubwa ( Bi Maaajjar) ya ku engage watu wa visiwani waliopo hapa hasipo kuwa patronise na hali kadhalika viongozi wa TA mnatakiwa mufanye jitihada za ziada kwa kushirikiana na balozi ili kuendeleza MUAFAKA uliofanyika nyumbani.
Lakini kama ikishindikana then naona tusipotezeane muda, tusipoteze pesa nyingi kukodisha ukubi na pia tusileteane na mediocres kama jamaa wa PPF na TRA waliokuja safari hii...kama tumeshindwa kufanya haya mambo bora tuwapelekee hao wenye kuyapenda haya mambo kama huko America waendelee sisi we should focus on mambo mengine kama ya kuchangishana pesa za kusafirishana tukishakufa na bila kusahau kufungua matawi ya vyama vya siasa