Mikopo ya watumishi wa umma kausha damu. Unakopa benki milioni 15, kinachoingia milioni 13 makato, milioni 32 haijalishi utalipa kwa muda gani, lakini hii ni kausha damu.
Jambo la kushangaza ni kuwa mfumo wa ESS unashindwa kutuhudumia upande wakuuza mikopo, uhuru wa kuchagua benki ni wa wazi na riba zinaonekana, tunaiomba Serikali imalizie ama i-activate mfumo wa kuuza na kununua madeni (loan takeover).
Tunajua ni njama za benki zinaogopa kupoteza wateja, hivyo...
Anonymous (cc8c)
Thread
ess
huduma
katika
kununua
kuuza
madeni
mfumo
mfumo wa ess
mikopomikopoyawatumishiwatumishi
Niliingia kwenye ajira 2018 ualimu. Mwaka Jana nikakopa million 16 lakini yote imeisha maana nilitia kwenye biashara ya duka la nguo naona hasara tupu hata Kodi ya frame nashindwa kulipa
Nikiangalia deni la mkopo linasoma million 31,ni makato ya miaka Tisa na pesa nilokopea imeisha kizingaombwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.