MIKOPO KWA WANAOTAKA KUNUNUA MAGARI NDANI YA NCHI NA NJE YA NCHI.

MIKOPO KWA WANAOTAKA KUNUNUA MAGARI NDANI YA NCHI NA NJE YA NCHI.

mew 123

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2024
Posts
307
Reaction score
193
habari
Suala la usafiri, iwe ni usafiri wa kibiashara au usafiri binafsi ni muhimu Kwa maendeleo ya Taifa na wananchi wanalitambua Hilo changamoto huja katika kumudu gharama za Kodi, bima, usafirishaii na hata Bei halisi ya gari. OZB CAR IMPORTERS Kwa kuiona changamoto ya gharama kuwa kubwa na watu kushindwa kumudu gharama za ununuaji wa magari Toka nje ya nchi na hata ndani ya nchi, tumeamua kutoa mikopo Kwa wateja wetu WENYE uhitaji wa kuagiza magari nje ya nchi na wale ambao wanataka kununua magari ndani ya nchi kutoka kwenye showroom zilizoko ndani ya nchi. Naomba kutoa ufafanuzi yakinifu kuhusiana na mikopo Kwa wateja wanataka kununua magari ndani ya nchi Kisha nitafuata Kwa wanahitaji kuagiza magari Toka nje ya nchi kama vile Japan China marekani Dubai na uingeeeza.
Mikopo Kwa wateja wanaonunua magari ndani ya nchi
Mkopo huu unahusisha wale ambao wanahitaji kuchukua au kununua magari ndani ya nchi kwenye showroom zinazopatikana ndani ya nchi.
Kiasi Cha fedha unachokopeshwa( maximum)
Asilimia 50% ya thamani ya gari unalotaka kununua. Mfano unataka kununua Toyota harrier thamani yake ni MILIONI 26, tutakukopesha kiasi Cha shilling milioni 13.
Nb kiasi hiki Cha pesa kitatumwa Moja Kwa moja Kwa muuzaji wa gari yaani mmiliki wa showroom au yard.
Mdhamana wa MKOPO(loan security)
Mdhamana wa mkopo itakuwa KADI YA GARI, pindi utakapokamilisha taratibu zote na kukabidhiwa gari, tutashikilia KADI ya gari ambayo itabaii kwetu kama mdhamana wa mkopo

Muda wa kurejesha mkopo
Muda wa kurejesha mkopo ni kuanzia miezi mitatu Hadi miezi 24. Marejesho hufanyika kila mwezi na mteja ana uhuru wa kuchagua kuwa mkopo wake uwe ndani ya muda gani lakin isipungue miezi mitatu na isizidi miezi 24
Riba ni 3.5% ambayo hukokotolewa katika rejesho la kila mwezi

MIKOPO KWA WANAHITAJI KUAGIZA GARI TOKA NJE YA NCHI
Kiasi Cha pesa kutakuwa asilimia 45% ya thamani ya gari unalotaka kununua Toka nje ya nchi, mfano unataka kununua gari lenye thamani ya milioni 80 kampuni itakupa asilimia 45 ya milioni 80 ambayo ni million 36
Mdhamana wa mkopo utakuwa KADI YA GARI uliloagiza, pindi linapofika na kufanyiwa usajili tutashikilia KADI YA GARI na gari utaendelea kutumia
Muda wa kurejesha mkopo ni miezi mitatu Hadi miaka 2 yaani miezi 24 na malipo ya mkopo yataanza pindi tu gari linapofika na kuanzia kulitumia
Riba ni 3.5%
VIAMBATA MUHIMU ILI KUWEZA KUPATA MKOPO
VIAMBATA hivi vipi katika makundi mawili Kwa wafanyabiashara na watumishi wa umma
1. Kwa wafanyabiashara
1.1 kitambulisho cha leseni ya udereva
1.2 kitambulisho cha Taifa NIDA
1.3 Barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa
1.4 Taarifa za kibenki za miezi 6 (bank statement) au miamala ya simu
1.5 TIN NUMBER
1.6 Leseni ya biashara
1.7 three coloured passport size
1.8 kitambulisho cha mtu wako wa karibu
1.9 wadhamini wawili

2. Kwa watumishi wa umma
2.1 kitambulisho cha leseni ya udereva
2.2 kitambulisho cha Taifa NIDA
2.3 Barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa
2.4 Taarifa za kibenki za miezi 6 (bank statement) au miamala ya simu
2.5 TIN NUMBER
2.6 Leseni ya biashara
2.7 three coloured passport size
2.8 kitambulisho cha mtu wako wa karibu
2.9 wadhamini wawili

OZB CAR IMPORTERS
0686153806
 
Back
Top Bottom