Shepherd
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 2,417
- 1,645
Hata kwenye mabenki sijawai ona hii kitu.Bodi ilijigeuza na kuwa kama tahasisi ya kifedha ya kukopesha.Kilichobaki ilikuwa ni leseni tu.Wakati hata kwenye matasisi ya kifedha mikopo chefuchefu ugeuka kuwa bad debt na mwisho write off,wao waliongeza matozo kuonyesha kuwa mikopo hiyo inalipika.Mama tunashukuru kweli wewe ni Mama.Mtu hana ajira bado unamdai kwani hiyo mikopo mlikoesha wajasiriama au wafanyabiashara. Kilichogeuka kilikuwa mwiba mchungu kwa wafanyakazi.Mama ni Mama tu piga kazi tupo nyuma yako.Wenyewe wanaita tozo ya kutunza thamani ya fedha