MIKOGO HARUSINI (Tazama Picha)

MIKOGO HARUSINI (Tazama Picha)

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,814
jamani waTanzania tunajijua tunavyopenda mambo ya harusi (hasa kula na kunywa na kucheza KWAITO), maana kanisani/bomani wasindikizaji siku hizi hatuendi kabisaaaa. Sasa tizama picha zilizopigwa harusini kwa Jamaa tokea KANYIGO, BUKOBA
 

Attachments

  • ffuraha.JPG
    ffuraha.JPG
    180.6 KB · Views: 1,231
Viroba noma yaani watu harusin wanachetuka utafikiri wameiona Mbingu. Huyo aliyebebeshwa motto kulikoni tena?
 
Sasa hapo kuna mikogo gani? Halafu hii tabia ya kujaza seva za JF ikome. Picha zilishakuja hapa jamvini na zote kwa wakati tofauti na zikajadiliwa. Tangu lini Mwigulu akatoka Kanyigo? Sasa JF imevamiwa. Kijana anatinga viroba haramu anakimbilia JF.
 
Jamani jamani mbona hii sasa hatari yaani Wabongo kwa kupenda vitu laini laini (kula kula na kunywa ndo zetu) kwenye kucheza ndo usiseme. Nashangaa kwa nini bajeti haikuweka kodi kwenye michango ya harusi.
 
Aisee ndo maana Chama Cha Chakavu wanatuibia tu huko serikalini maana akili yetu yote ipo kwenye sherehe sherehe hatujibidishi na kazi
 
Iweee ni kupiga rubisi tu, na kisha unapiga na kare ka muziki ka kuchambua kama karaanga 🙂🙂🙂
 
kawaida sana ni moja ya matukioa nyeti maishani na hongera walobahatika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom