#COVID19 Kipindi hiki cha wimbi la tatu la Corona Watanzania tubadilike

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
2,191
45
Kipindi hiki cha wimbi la tatu la Corona DELTA linatishia sana uhai kwa watanzania.Hapo hapo unakuta watu wanafanya harusi kukutanisha watu wengi wengi hivi tunajipenda kweli.

SIkatai harusi ni kitu kizuri cha kumbukumbu lakini tungeangalia hali halisi kwa sasa.Mi ningeshauri kuliko kuhatarisha maisha si bora ile michango yote tuliyotoa tukampa bwana na bibi harusi wakaanzie maisha.

Siku ya kufunga ndoa wanaweza kujitoa kimasomaso na wasindikizaji wao na wazazi wao wakifungishwa ndoa kanisani au msikitini au bomani wilayani. Baada ya hapo wanafamilia tu wakawarudi nyumbani wakasherehekea kuliko kukusanya umati wa watu wengi kuambukizana ugonjwa.

Watanzania tubadilike sio lazima ukichanga ukalipizie siku ya harusi kwa kunywa na kula jamani tujali hali ya sasa.
 
djzmpr70

Senior Member
Oct 25, 2020
181
250
Seeikali isipotoa tamko kuhusu mikusanyiko, usitegemee mTz ajiongeze. Angalia daladala, angalia mpirani, angalia kwenye ziara za Rais, angalia makanisani, angalia misikitini, angalia kwenye baa, angalia kwenye mbio za mwenge, angalia jumiya.. n.k.nk...
Hakuna tahadhari zozote.
 
Slivery

Member
May 11, 2021
55
125
Kipindi hiki cha wimbi la tatu la Corona DELTA linatishia sana uhai kwa watanzania.Hapo hapo unakuta watu wanafanya harusi kukutanisha watu wengi wengi hivi tunajipenda kweli.

SIkatai harusi ni kitu kizuri cha kumbukumbu lakini tungeangalia hali halisi kwa sasa.Mi ningeshauri kuliko kuhatarisha maisha si bora ile michango yote tuliyotoa tukampa bwana na bibi harusi wakaanzie maisha.

Siku ya kufunga ndoa wanaweza kujitoa kimasomaso na wasindikizaji wao na wazazi wao wakifungishwa ndoa kanisani au msikitini au bomani wilayani. Baada ya hapo wanafamilia tu wakawarudi nyumbani wakasherehekea kuliko kukusanya umati wa watu wengi kuambukizana ugonjwa.

Watanzania tubadilike sio lazima ukichanga ukalipizie siku ya harusi kwa kunywa na kula jamani tujali hali ya sasa.
Naona huwajui watanzania me nipo mwanza kwenye wagonjwa wengi hadi mitungi imeisha ila mask huwa navaaga mwenyewe kwenye vyombo vya usafiri ukivaa kila mtu anakushang'a ko hata usisumbuke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
benruby

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
244
250
Wafanye kwenye harusi zisizo na mvinyo,zenye mvinyo waende wanywaji tu
 
Banjuka

JF-Expert Member
May 7, 2021
440
1,000
Na vilabu vya pombe tufanyeje? Kwa ujumla Covid-19 ndio janga hatari zaidi kuwahi kutokea tangu ulimwengu kuumbwa, kwa sababu hailazimu ugusane na mtu mwingine,kuambukizwa ni rahisi mno kuliko magonjwa yaliyo kuwamo hapo awali.
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
13,344
2,000
Kipindi hiki cha wimbi la tatu la Corona DELTA linatishia sana uhai kwa watanzania.Hapo hapo unakuta watu wanafanya harusi kukutanisha watu wengi wengi hivi tunajipenda kweli.

SIkatai harusi ni kitu kizuri cha kumbukumbu lakini tungeangalia hali halisi kwa sasa.Mi ningeshauri kuliko kuhatarisha maisha si bora ile michango yote tuliyotoa tukampa bwana na bibi harusi wakaanzie maisha.

Siku ya kufunga ndoa wanaweza kujitoa kimasomaso na wasindikizaji wao na wazazi wao wakifungishwa ndoa kanisani au msikitini au bomani wilayani. Baada ya hapo wanafamilia tu wakawarudi nyumbani wakasherehekea kuliko kukusanya umati wa watu wengi kuambukizana ugonjwa.

Watanzania tubadilike sio lazima ukichanga ukalipizie siku ya harusi kwa kunywa na kula jamani tujali hali ya sasa.

Kuna mijamaa kama hii Niza doyi ZAK ZAK mbingunikwetu na wenzao kuelewa hadi damu itoke masikioni.

Utadhani nia yao ni kuona ugonjwa huu unapinga kambi hapa nchini. Ikibidi watu wote wafe.
 
TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
8,661
2,000
Hiki ndicho kipindi cha kutiana hofu na maisha yenyewe haya ya watanzania 60mil+ sijui!.

Hebu ngoja nisubiri hizo billion za mkopo zikija nione lockdown itakuwaje, nimekuwa nafuatilia jinsi mtz anavyoishi, hata kila mtu akivaa mask bado maji ya kunawa au hizo sanitaiza bado ni shuguli kuwepo maeneo husika.

So hili jambo kama, nasema kama litavaliwa njuga basi kuna hatari kubwa kuliko ugonjwa wenyewe.

👉🏾Nipo na ninangalia hatima ya hii movie.
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
31,650
2,000
Kipindi hiki cha wimbi la tatu la Corona DELTA linatishia sana uhai kwa watanzania.Hapo hapo unakuta watu wanafanya harusi kukutanisha watu wengi wengi hivi tunajipenda kweli.

SIkatai harusi ni kitu kizuri cha kumbukumbu lakini tungeangalia hali halisi kwa sasa.Mi ningeshauri kuliko kuhatarisha maisha si bora ile michango yote tuliyotoa tukampa bwana na bibi harusi wakaanzie maisha.

Siku ya kufunga ndoa wanaweza kujitoa kimasomaso na wasindikizaji wao na wazazi wao wakifungishwa ndoa kanisani au msikitini au bomani wilayani. Baada ya hapo wanafamilia tu wakawarudi nyumbani wakasherehekea kuliko kukusanya umati wa watu wengi kuambukizana ugonjwa.

Watanzania tubadilike sio lazima ukichanga ukalipizie siku ya harusi kwa kunywa na kula jamani tujali hali ya sasa.
Wimbi linapigiwa promo hatari ila watz wmegomea upuuzi...
Nchi za mbele sio wote wamepata chanjo na licha ya chanjo bado wanafariki kwa covid ila wamefikia mahali wameamua hamna cha mask, social distancing wala upuuzi mwingine sie ndio leo tunaanza kutishana na takwimu zenyewe ukilinganisha na malaria wa malaria wengi....
Tusitishane, JPM alitupa uthubutu na uthubutu huo tunaishi nao sasa...naosha mikono kila inapowezekama inatosha....
Sivai barakoa hata jwtz waje na vifaru vyao..
 
Kalpana

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
8,157
2,000
Jamani hebu mtuache kila mtu achukue tahadhari yeye mwenyewe. Kwa hili ntabaki na Magufuli mpk mwisho.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom