Mikoa ya kuanzia maisha

Mikoa ya kuanzia maisha

Mwamgunda

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
247
Reaction score
48
Habari wanajamii. Mimi ni mhitimu wa chuo kukuu ktk kitivo cha elimu, naomba mnipe ushauri kuhusu mikoa ya Tanzania ambayo mtu anaweza kuanzia kufanya kazi na kufanikiwa kimaisha. Asanteni sana na mungu awabariki, naombeni ushauri wa kunijenga tafadharini sana ndugu zangu!
 
mmaisha ni kokote ndg yangu ili umepangaje malengo yako ya kimaisha uweze kusonga mbele
 
Seriously?..mhitimu?how can you ask this(no offense)!

Popote pale mtu anaweza kuanzia maisha, inategemeana na
-bidii katika shughuli/kazi yako,
-uchangamkiaji wa Fursa/nafasi mbalimbali(kutosubiri kuambiwa kuna nafasi fulani unaweza fanya kazi hii).
-Upatikanaji wa huduma za kijamii.
-n.k

Nasema hivi kwa sababu unaweza kwenda mikoa idhaniwayo kuwa gharama ya maisha iko chini mf. Mbeya, Singida, mikoa ya Kanda ya ziwa n.k lakini "kubweteka" na kutozingatia vitu kadhaa nilivyotaja juu(pamoja na mengine kukafanya usifanikiwe. na pia mikoa inayoogopwa kwa gharama za kimaisha mf. hapa Dar es salaam, Arusha n.k ukaiogopa lakini kwa kujua utaishie/kuchangamkia fursa zaidi kukaffanya upanue wigo wa kimaisha na kimaendeleo pia.

Swali la msingi ni unataka kujishughulisha na nini, kwa ushauri wangu bidii ya kazi(na hasa kazi zaidi ya moja) matters hapa.
 
kama wewe ni mtu unaetaka maendeleo kwa kujituma, mikoa hii ni wewe kwenda, !. Rukwa, Katavi, Shinyanga na miko mipya iliyoanzishwa.
note, endapo hutoki katika moja ya mikoa hiyo.
 
kwa ushuri wangu anzia wilaya mpya ya katavi wewe ndio utaonekana mjanja kule maana sehemu nyingine watu wana degree tatu tatu wewe utakuwa kama makamu wa rais maana rais kule ni pinda.
 
Kuanzia maisha? Halafu uhamie wapi? Dar? Wengine wanaita mikoa nje ya Dar es Salaam ni mikoani. Watu wanaona Dar mji, humng'oi hata kwa katapila. Ulimbukeni tu.
 
Kutafuta kazi sio rahisi hivyo mpendwa. Ushauri wangu ni kudaka kazi ya kwanza utakayopata ili uache kuomba hela ya vocha. Baada ya hapo kinachokuendesha ni salary ya next job. Hata niambiwe niende tandahimba kama inalipa ningeruka mara moko. Unless una long term plans (kuna mkaka aliacha kazi dsm akahamia katavi, ana mwaka wa 5 na haumuambii. Kanunua karibia katavi yote, siku akija mjini tunajipanga kumpokea.
 
lindi, mtwara, katavi, geita, simiyu na huko ndo mtakakopelekwa walimu so usihofu mkuu life will be very good
 
karibu kwe2 bukoba na kadigree kako kamoojaa, uciogope kupigwa makofi ndo unafundishwa kazi. kama we ni mwl wa kiswahili utapata shavu, lakn english hstory cjui nini yote 2nayajua. maisha ni mepesi senene ndiz magimbi rubis na akina koku wapo karbu xana. . . em 2mia assent ya kihaya kusoma hayo maneno.
 
Back
Top Bottom