Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,030
- 40,118
Kwa hiyo ukijumlisha Arusha na Manyara bado hazifiki kwa Tabora na Moro?Namba moja tabora ikifuatiwa na morogoro
Basi hiyo mikoa ni mikubwa sana kwa kweli.
Kwa hiyo ukijumlisha Arusha na Manyara bado hazifiki kwa Tabora na Moro?Namba moja tabora ikifuatiwa na morogoro
Bibi yangu ameshafariki. Nijibu wewe.Kamuuluze bibi yako