Mikoa maskini zaidi yatajwa

Labda sababu hakuna viwanda,Pwani ina viwanda sana siku hizi
Hadi miaka 10 ijayo Pwani itaongoza kwa viwanda vingi....

Tatizo la Pwani viwanda havifaidishi wakazi wa hayo maeneo maana ni wavivu wa kufanya kazi, hivyo kazi nyingi zinachukuliwa na watu kutoka mikoa ya mbali

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
hamna wavivu kama akili yako niambie kuna kiwanda kimekosa wafanyakazi ?
 
Kila ripoti inayotoka kuhusu umasikini kagera hawachomoki,mi sielewi wachumi hutumia vigezo gani?kuhusu Kigoma na Tabora hilo halishangazi tena nadhani ni masikini duniani
Wahaya wakija mjini hawarudi kwao wala hawatumi remittance tofauti na wachaga ambao kabla hujajenga mjini lazima ufanye ujenzi kijiji kwenu. Uhayani vijijini nyumba hazina tofauti za zile za kule kwa Wasandawe.
 
jamaa una akili sana...Wengi hunu ndani wamekaa kishabiki .
mfano diamond wa kigoma na mziki mzima kaanza Dar ndo tajiri namba moja kwa wanamuziki kuna mwanamziki hata mzawa wa dar anaweza kumfikia.
 
jamaa una akili sana...Wengi hunu ndani wamekaa kishabiki .
mfano diamond wa kigoma na mziki mzima kaanza Dar ndo tajiri namba moja kwa wanamuziki kuna mwanamziki hata mzawa wa dar anaweza kumfikia.

Daimond kazaliwa kigoma au kabila tu? Huwez ona umuhim wa sehemu kama hujatokea huko. Ulipozaliwa na kukulia ndipo panakugusa zaid regardless kabila.
 
Mikoa yote hyo watu ni wapambanaji.

waafrica utajiri hauji kwa kufanya kazi ngumu ni ushamba kama unaamini hivyo.


watu wanapambana sema fursa hamna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…