Mikoa maskini zaidi yatajwa

kijjiji kipi maana hata hekalu la mkapa lipo kijijini unaijua irente view je ipo mjini?

umeona stendi hapo ?
Kwahyo wilayan n eneo la stand tu? Hakuna maeneo nearby?
Natáka vijijini local siyo wilayani
 
Chai saa 9 alasiri na chakula kikuu ni saa 2 hapo tayari miwili
Sio aina ya maisha yao? Kama inadaiwa haiwafanyi kazi, basi hata mwili hautakuwa ukishikwa na njaa hasa ikiwa muda mwingi ni kulala na kukaa.
 
ndio ni vijiji vinazungumziwa, mijini hatuna shida nako
Dodoma mjini ni wilaya moja ya mkoa, Sasa kama sehemu kubwa ya mkoa hakuna maendeleo, inalazimisha mkoa mzima kuwa masikini.
 
Mkuu wenye majumba siyo wananchi wa Kagera unaposikia wanazungumzia umasikini ni wananchi wanaishi mkoa uliotajwa, je hayo majumba wamiliki wake ni wakazi wa Kagera? au wamiliki wake wanaishi Marekani?
Marekani ya wapi bana ilikuwa zamani,hao walishazeeka,wamestaafu au wamekufa,ila bro kumbuka kuna kitu kinaitwa remintes
 
Kinacho ondoa umasikini katika jamii sio elimu bali aridhi mkoa wa kagera hauna aridhi ya kilimo cha biashara mfano wilaya ngara Biharamulo mleba misenye bukoba viniji wilaya yenye aridhi ya kilimo 1 tu Karagwe

Watu wengi ufahamu mdogo wasomi wengi sio kigezo cha kuondoa umasikini katika jamii hao wasomi wanapesa kiasi gani cha kuondoa umasikini mkoani humo
 
Imefafanua kisomi kabisa watu walio wengi wanadhani mkoa kuwa na wasomi wengi ni kigezo cha kufuta umasikini katika jamii kumbe sivyo mfano mkoa wa kagera hauna aridhi ya kilimo sehemu kubwa ya aridhi hiyo ni mwamba milima vichuguu Karagwe tu ndiko kwenye aridhi ya kirimo
 
wengi bado sana wanafikiria elimu inatosha pekee
 
Mi hata kigoma nina wasiwasi maana katika safar yangu ya maisha waha ndio vijana wanafuatia wakinga kupambana. Sema hizo jamii kwao hawajengi coz ya uchawi lakin wako vizur
Waha wengi bado ni masikini wala usiwalinganishe na wakinga mkoa wa kugoma hauna mazao ya biashara kulinganisha na njombe na makete na makambako mkoa wa njombe
Unaongoza kwa kilimo cha viazi mviringo
Mbao
Mahindi
Chai
Ziwa nyasa kuna dagaa
Mbao
Maharagwe
Vitunguu
Nyanya
Kilimo cha biashara ndicho kinacho wafanya wananchi kuchangamka na kufanya maendeleo sio elimu inakuja baadae
 
Kuna mtu kasema umaskini unaletwa na mabadiliko ya tabia ya nchi
Sio kweli chanzo cha umasikini kwa mikoa kama kagera kigoma msoma nk ni ukosefu wa aridhi unao sababisha wananchi wakakosa kulima kilimo cha biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…