Wanakataa kwao wanakimbilia Dar 🤣🤣Makamu wa Raisi amesema umasikini upo vijijini zaidi.Pia mikoa yenye wananchi masikini zaidi ni Kagera,Tabora na kigoma.Inakuaje Kagera nayo inakua hapo na wasomi wengi?
Mkuu unaongea utafikiri Kilimanjaro ni mbinguni,Kuna sehemu zimechoka sana Kilimanjaro mkuu,maisha ya Rombo,Mwanga Same,Moshi kuelekea Arusha kugumu hatari,tazama wale wananchi wanaishi karibu na KIA vile vijumba.Yes Kilimanjaro imepiga hatua lakini sio kama unaiongelea😊😊😊Kwa mujibu WA NBS Kilimanjaro umaskini ni 10% unabishana na takwimu?
Makazi bora vijijini Kilimanjaro ndio inaongoza,huduma bora vijijini kama maji,umeme, barabara,shule, hospital Kilimanjaro Haina mpinzani, Kilimanjaro ni kawaida kukuta Kijiji kina zahanati za private zaidi ya tatu(Kijiji)
HII utakuta wapi zaidi ya Kilimanjaro? Kilimanjaro madarasa yapo mengi Hadi yanakaliwa na mijusi( sio madarasa ya Samia) maana kule walishajenga Zaman
Kilimanjaro (vunjo) mwaka juz wananchi walichanga zaidi ya bilion 5 kukárabati barabara zote za jimbo,kwenu mnaweza ?
Kwa trend HII Kilimanjaro itaendelea kuongoza ever
Kitaaluma Kilimanjaro ni mkoa unaoongoza kidato chá nne kwa karibu miaka 5 mfululizo
Ni mkoa wenye shule nyingi za sekondar kuliko mkoa wowote Tanzanie
Moshi DC ni wilaya inayoongza kwa primary school Tanzania nzima
Rombo ni wilaya pekee Tanzanie yenye umeme kata zote, vijiji vyote,na vitongoji vyote 100% HII huikuti popote zaidi ya Kilimanjaro
Mmiliki WA précision air anatokea Kilimanjaro HII ni exposure kubwa kabisa ya kuitangaza Kilimanjaro
Vita ya watu wa kasikazini na Kanda ya Ziwa haitokaaga iishe.[emoji2][emoji2][emoji2]tutawaazima ndege yetu Moja ya precision
Si unajua mmiliki WA précision ni Mangi?
Tanzania umeskini upo maeneo mengi,ila kuna maeneo umekithiri zaidi sanaMkuu unaongea utafikiri Kilimanjaro ni mbinguni,Kuna sehemu zimechoka sana Kilimanjaro mkuu,maisha ya Rombo,Mwanga Same,Moshi kuelekea Arusha kugumu hatari,tazama wale wananchi wanaishi karibu na KIA vile vijumba.Yes Kilimanjaro imepiga hatua lakini sio kama unaiongelea[emoji4][emoji4][emoji4]
Sasa laki 2 kwa mwezi mtu anaishi vipi?
Duh Mtwara tena??? Umewahi kufika au stori za vijiweni ndio zinakuchanganya. Mi home kwa upande wa mzazi mmoja na Kagera mzazi mmoja. Lkn Mtwara sio masikini kabisa, kuanzia Vijijini hadi mjini maisha yao ni kawaida na ukumbuke hawana kilimo cha chakula kwa wingi lkn pesa inapatikana.Sipendi kuamini kuwa Kagera ni maskini nyuma ya Lindi na Mtwara! Nshomile mnakwama wapi?! Jifunzeni kitu K’Njaro.
Una habari enzi hizo uchagan Elimu ilikuwepo ilihali maeneo mengine hakukuwa nayo? Imagine watawala WA kichaga wote walikuwa wasomi?,Mangi mareale mwenyewe alipata masters degree mwaka 1942 CambridgeAmbacho huelewi ni kwamba kuna mikoa inakua kwa kasi kuliko Kilimanjaro. Hakuna mkoa ambao haukui nchi hii ndio maana status quo inabadilika, tazama tulivyopata uhuru mikoa gani ilikuwa kubwa kiuchumi na leo ni mikoa gani mikubwa.
Klimanjaro ina emigration kubwa kuliko immigration. Wakati Wahehe wanapigana na Wajerumani, kuna watu hata kuvaa walikuwa hawajui. Kuna era tofauti View attachment 2576624
Unabishana na takwimu?Kule Kwa kina Dr Mollel ndio kwanza wanajengewa hospital,Rombo ni maskini wa kufa mtu,Same na Mwanga ni choka mbaya kabisa [emoji16][emoji16]
Kwa mujibu WA NBS Kilimanjaro ni mkoa WA pili kwa wananchi wake kuwa na per capita income kubwa Baada ya darKule Kwa kina Dr Mollel ndio kwanza wanajengewa hospital,Rombo ni maskini wa kufa mtu,Same na Mwanga ni choka mbaya kabisa [emoji16][emoji16]
wahaya weng wamepiga hatua ila weng hawarudig kwao , nmeish huko Kagera nmejionea the same mtu anasema ana ndugu wapo UK matijiri wanarudig siku za sikukuu na misafara ya wazunguKila ripoti inayotoka kuhusu umasikini kagera hawachomoki,mi sielewi wachumi hutumia vigezo gani?kuhusu Kigoma na Tabora hilo halishangazi tena nadhani ni masikini duniani
kabisa mf Sir George Kahama hajawai kuish kwao miaka na miaka anarudigi siki za sikukuu tu au mwisho wa mwakaWanajenga DAR na ughaibuni
kavitaja vyote Kwa pamojaTuamini kipi hapo,kati ya umsikini kusababishwa na tabia nchi na wasomi kutoludi kwao?
Unamdanganya nani? Kilimanjaro ikiwa ya 2 ,Mbeya,Iringa na Njombe zitakuwa za ngapi?Kwa mujibu WA NBS Kilimanjaro ni mkoa WA pili kwa wananchi wake kuwa na per capita income kubwa Baada ya dar
Ni mkoa WA kwanza kwa makazi bora vijijini,ni kawaida kukuta maghorofa vijijini
Ni mkoa wenye miundombinu toshelezi vijijini kwa 90% ushawahi sikia habari za ukosefu WA hudumaa za jamii KILIMANJARO ?
Kilimanjaro vijijin Kuna mtandao mkubwa WA lami na barabara bora, Kilimanjaro ni wapenda maendleo
Mfano mwaka juzi vunjo walichanga zaidi ya bilion 5 kukárabati barabara zote za jimbo,just imagine jimbo Dogo kama vunjo wananchi wabachangia bilion 5 ushawah kuona wapi hii?
Aisee aliyetangulia katangulia tu, Kilimanjaro inatikisa kielimu, kiuchumi
Hakuna mkoa wowote TZ utamkosa mchaga,hakuna ofisi yoyote utamkosa mchaga,jambo zuri Wachaga wengi wamesomea kozi za uchumi,bank, biashara,uhandisi yaani zile sekta nyeti nyeti
Wachaga Kila level ya Elimu wamejaa kwanzia diploma,degree, masters,PhD
Vyuo vikuu vyote ukienda ma lecturers wamejaa
Mkuu, nadhani ingependeza zaidi kama hoja ungeandika "mishahara na marupurupu ya Wasomi kwa ajili yao na familia zao kwenye ajira na ujira Serikalini ina ongeza umaskini kwa wananchi"Wasomi mishahara yao kwa ajiri yao na familia zao serikali kazi yake kutokomeza umasikini kwa wananchi
Niliwahi kuweka uzi humu kuwa mkoa wa kagera ni washirikina tofauti na watu wanavyowachukuliawahaya weng wamepiga hatua ila weng hawarudig kwao , nmeish huko Kagera nmejionea the same mtu anasema ana ndugu wapo UK matijiri wanarudig siku za sikukuu na misafara ya wazungu
Utakuwa umekunywa ulanzi huelewi unachoongea,ingia hapa ujionee www.nbs.go.tzUnamdanganya nani? Kilimanjaro ikiwa ya 2 ,Mbeya,Iringa na Njombe zitakuwa za ngapi?
Huko ni magofu tuu kama Kagera.
Wanaamin mno ushirikina,mm nimwahi ishi Huko nilikuwa kikazi nawajua in and outNiliwahi kuweka uzi humu kuwa mkoa wa kagera ni washirikina tofauti na watu wanavyowachukulia