Wewe chakula unachodhani ni kitamu kumbe unakula masumu, mafuta wanayokarangazia na viungo vyote ni sumu, vinasababisha magonjwa ya moyo kisukari na upungufu wa nguvu za kiume. Fuatilia mikoa ulioitaja kuwa wanaloweka chakula uone shughuli ya jeshi katika uimbara na ufanyaji kazi wa mifumo ya ndani ya mwili. Endeleeni kukarangiziwa sisi washamba tunakula dona na mboga chukuchuku, ugali wa mtama na uwele na mihogoChakula kwa afya njema hasa kikiwa kizuri na hupunguza pia msongo wa mawazo
Suala la mapishi utegemeana na asili ya jamii husika pamoja na aina vyakula vinavyotumika katika jamii hiyo
suala la mikoa inayojua kupika na isiojua umekosea mikoa yote watu wanapika vizuri Sema wewe unapendelea aina fulani ya vyakula vinavyopatikana katika mikoa uliyotaja kwamba watu wake wanajua kupika
Povu atakalo pata kutoka kwa watu wa Arusha na Kilimanjaro hautaamini macho yakokataja mikoa mingi sana mbona, sijui kwa nini umeona wachaga tu, wakati wachaga wenyewe hawajajaza hata nusu ya mkoa wa Kilimanjaro japo ndio mkoa mdogo zaidi TZ baada ya Dar
subiri mapovu yakoKuna shemeji yangu mchaga, yaani mapishi ni zero kabisa , dagaa wa jero mafuta anaweka nusu ndoo... daah
Tanga siamini kama kuna mtu atajitokeza na kusema Tanga hawajui kupika.... Wale watu kwenye swala la kupika ni namba nyingine....Mkuu kwa wanawake wa Tanga nimebahatika kuishi nao maeneo tofauti lakini ni wapishi wazuri sana. Hata ukimpa chakula chako cha asili atakipika vizuri.
Acha kupiga chekecha.Mkuu wewe unatokea mikoa ya kundi la pili au